Makundi mawili yatakayoambulia aibu 2025

Huu ni ugoro mtupu. Hakuna kundi wala gurupu. CCM ni moja tuu na Tutaendelea kupasua anga kupeleka Taifa mbele. Hakuna wa kumtikisa Rais up to 2030 Samia Suluhu Hasssan. Huyo hajazaliwa nchi hiii
 
Good insight
 
Hapo mbaya kuliko wote ni kundi C.
Hayo makundi 2 ya kwanza kiuhalisia ni kundi moja lililohitilafiana kimtazamo lakini mzizi wa uwepo wao ni mmoja hivyo ni rahisi kukaa chini wakafunika kombe mwanaharamu apite.

Tatizo la kundi C halijui litakacho. Japo linajipambanua kama linasimamia haki, kiukweli kabisa linasimamia matumbo yao tu.
Kwa kiasi sahihi wanaweza kuuza hata utu wao. Na vile washajua fika kuwa hawatogusa madaraka basi wako radhi walaghai walimwengu ili yao yaende.

Mkombozi wa nchi hii sio kizazi hichi cha sasa. Bado tuna safari ndefu mno.
 
Mwaka 2023 serikali itayumba vubaya sana kutokana na maandamo yanayobeba hisia za wananchi wa kawaida na hayazuiliki kote nchini. Watawala watakosa muda wa kusimamia maendeleo na kujielekeza kujihami na madai ya haki za wananchi wapewe bila shuruti. Mafuriko kila kona; majanga ya kuondokewa na viongozi washauri utakubuhu.
 
Shukrani kwa ufafanuzi. Ndiyo, kuna chawa wengi kama vile akina Kinana, makamba, rostam, na wezi wengine wanaojulikana.
Hivi kuna awamu iliyokuwa na wezi wengi kama awamu ya tano (5)
Tena wezi katili.
Utaratibu wetu ccm ni kupitisha tu, aliyepo mpaka atakapo malizia kipindi chake.
 
Eti na wewe unajitai unaakili wakati umetoka tu hisia zako kuonesha unamchumia yupi na unampenda yupi hakuna uchambuzi swala kama hili linaitaji utafiti sio hisia nenda kwa wapiga kura wanazungumzia utawala upi ni mzuri kwao baada ya hapo uje utoe uchambuzi wako umekurupuka tu umeanza A,B na C hata ueleweki zaidi ya hisia zako tu
 
Huu ni ugoro mtupu. Hakuna kundi wala gurupu. CCM ni moja tuu na Tutaendelea kupasua anga kupeleka Taifa mbele. Hakuna wa kumtikisa Rais up to 2030 Samia Suluhu Hasssan. Huyo hajazaliwa nchi hiii
Typical chawa without reasoning🤣🤣
 
Na wewe toa hisia zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…