mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga na Rais Samia ni damu damu.ndio maana hata alipowaambiaga wamalize suala la feisali uliona namna jambo lile lilivyokwisha haraka sanaSema simba watamchangia. YANGA wanajielewa hawawezi kufanya huo u
Wala sipotezi muda kusoma huu upuuzi. Kama kuna jambo linaniogopesha ni samia kuendelea kua rais baada ya 2025. Ikitokea sitajinyonga. Iwe kihalali au kwa hila nitasubiri tu maisha yaende huku nikimpinga.Ndugu zangu watanzania,
Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa uliojitokeza mbele yake.sasa makundi mbalimbali kutoka kada mbalimbali yameamua kufuata nyayo za walimu .sasa yanajipanga kuchangishana pesa kwa kadri wawezavyo kwa ajili ya kumpatia Rais Samia kuchukulia Fomu ya Urais.
Hii ikiwa ishara ya kuonyesha upendo, kumkubali, kumuunga mkono na kuridhishwa na kazi kubwa na uchapa kazi wake aliouonyesha ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ,ulioleta na kuchochea maendeleo katika kila Secta.
Hii Ni kutaka kukata kiu ya mamilioni ya watanzania wanaohitaji kuona Rais Samia akipeperusha bendera ya CCM Katika uchaguzi ujao ,ili wamlipe kwa kumpigia kura za ndio kwa kishindo.
Jambo hili linafanyika ili kumpa nafasi Rais Samia Kuendelea na kazi kubwa aliyoianza ya kulijenga Taifa letu kwa miradi ya kimkakati na kuboresha huduma za kijamii kwa kiwango kilichoweka historia katika Taifa letu.
Wanataka Aendelee na kazi ya kuinua kilimo na wakulima,kutoa elimu bure na bora kulingana na wakati na maendeleo ya teknolojia,kutoa elimu ambayo wahitimu wake watakuwa bora na wenye sifa ,maarifa,ujuzi na uwezo wa kushindana katika soko la ajira la kimataifa.
Wanataka arejee ikulu tena kuendelea na kazi ya kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama, usambazaji wa umeme mpaka vijijini, utoaji wa ajira kwa vijana, uimarishaji wa demokrasia hapa Nchini, kuvutia uwekezaji na wawekezaji, kutoa huduma bora za afya na kwa gharama nafuu ambazo watanzania wanaweza kuzimudu bila kujali kipato chao.
Kuboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na wawe na morali ya kuwahudumia watanzania na kutoa huduma bora na stahiki kwa watu.
Kwa hakika Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe, haijawahi kutokea kiongozi akapata upendo mkubwa na kukubalika kama Rais Samia anavyopendwa na kukubalika na watanzania.
Ni uwe na chuki binafsi tu na roho mbaya tu ndio utamsema vibaya au kumchukia Rais Samia.lakini katika hali ya kibinadamu na kiuongozi kafanya makubwa sana yenye kumgusa kila mtu.
Kwa sababu kama ni ajira kwa vijana katoa kwa maelfu, kama ni kuwajali na kuwathamini Watanzania kafanya hayo yote.
Kama ni kulinda amani na usalama wa nchi yetu kimekuwa kipaombele chake.kama ni haki sasa imetamalaki hapa nchini.kama ni demokrasia imenawiri na kushamili mpaka watu imewalevya ,kama ni kujenga uchumi jumuishi na kujikita katika maendeleo ya watu kafanya mama yetu,kama ni kuboresha huduma za kijamii kafanya maajabu.
yaani sioni ni kipi ambacho unaweza kusema Rais Samia hajafanya KATIKA TAIFA LETU. shida ya baadhi ya watu ni kuwa wao walishajiweka na kujijenga katika kupinga kila kitu ,kuwa vipofu wa kila kitu, kutokuona chochote kinachofanyika.
Wapo watu hata ufanye nini watalalamika na kupinga tu.hata ufanye yale waliyokuwa wanayahitaji muda wote bado utaona wanalalamika na kupinga tu hata kama utafanya katika namna ileile waliyokuwa wanaihitaji. Kwa hiyo watu wa namna hiyo ni ngumu sana kuridhisha mioyo yao.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Mswaada wa bima ya afya kwa wote umekuwa sheria je wajua kwamba kila watu watatu wanatakiwa kulipa tshs 360000 mzee ???Hakuna club ya mpira ambayo haitamchangia pesa Rais Samia.maana wana michezo wote wanatambua mchango mkubwa wa Rais Samia Katika kuleta hamasa kubwa sana katika Secta ya michezo.
Kwa hakika wewe ni mjinga wa kiwango cha hali ya juu sanaa. Yaani Hujasoma halafu unakurupukia kwenda kucomment. Sasa una comment Nini Kama siyo dalili za uwendawazimu na ukichaa?Wala sipotezi muda kusoma huu upuuzi. Kama kuna jambo linaniogopesha ni samia kuendelea kua rais baada ya 2025. Ikitokea sitajinyonga. Iwe kihalali au kwa hila nitasubiri tu maisha yaende huku nikimpinga.
Kuna sababu za kimsingi sana wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi na nchi nzima kumpinga samia. Tulitaka kuelekea kujitegemea na usawa kwenye uchumi na kijamii. Samia anatupeleka njia yake kwenye ubwenyenye na wachache kumiliki uchumi.
Machadema yatanuna na kuanza kutukana Kwa stress 😁😁Ndugu zangu watanzania,
Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa uliojitokeza mbele yake.sasa makundi mbalimbali kutoka kada mbalimbali yameamua kufuata nyayo za walimu .sasa yanajipanga kuchangishana pesa kwa kadri wawezavyo kwa ajili ya kumpatia Rais Samia kuchukulia Fomu ya Urais.
Hii ikiwa ishara ya kuonyesha upendo, kumkubali, kumuunga mkono na kuridhishwa na kazi kubwa na uchapa kazi wake aliouonyesha ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ,ulioleta na kuchochea maendeleo katika kila Secta.
Hii Ni kutaka kukata kiu ya mamilioni ya watanzania wanaohitaji kuona Rais Samia akipeperusha bendera ya CCM Katika uchaguzi ujao ,ili wamlipe kwa kumpigia kura za ndio kwa kishindo.
Jambo hili linafanyika ili kumpa nafasi Rais Samia Kuendelea na kazi kubwa aliyoianza ya kulijenga Taifa letu kwa miradi ya kimkakati na kuboresha huduma za kijamii kwa kiwango kilichoweka historia katika Taifa letu.
Wanataka Aendelee na kazi ya kuinua kilimo na wakulima,kutoa elimu bure na bora kulingana na wakati na maendeleo ya teknolojia,kutoa elimu ambayo wahitimu wake watakuwa bora na wenye sifa ,maarifa,ujuzi na uwezo wa kushindana katika soko la ajira la kimataifa.
Wanataka arejee ikulu tena kuendelea na kazi ya kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama, usambazaji wa umeme mpaka vijijini, utoaji wa ajira kwa vijana, uimarishaji wa demokrasia hapa Nchini, kuvutia uwekezaji na wawekezaji, kutoa huduma bora za afya na kwa gharama nafuu ambazo watanzania wanaweza kuzimudu bila kujali kipato chao.
Kuboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na wawe na morali ya kuwahudumia watanzania na kutoa huduma bora na stahiki kwa watu.
Kwa hakika Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe, haijawahi kutokea kiongozi akapata upendo mkubwa na kukubalika kama Rais Samia anavyopendwa na kukubalika na watanzania.
Ni uwe na chuki binafsi tu na roho mbaya tu ndio utamsema vibaya au kumchukia Rais Samia.lakini katika hali ya kibinadamu na kiuongozi kafanya makubwa sana yenye kumgusa kila mtu.
Kwa sababu kama ni ajira kwa vijana katoa kwa maelfu, kama ni kuwajali na kuwathamini Watanzania kafanya hayo yote.
Kama ni kulinda amani na usalama wa nchi yetu kimekuwa kipaombele chake.kama ni haki sasa imetamalaki hapa nchini.kama ni demokrasia imenawiri na kushamili mpaka watu imewalevya ,kama ni kujenga uchumi jumuishi na kujikita katika maendeleo ya watu kafanya mama yetu,kama ni kuboresha huduma za kijamii kafanya maajabu.
yaani sioni ni kipi ambacho unaweza kusema Rais Samia hajafanya KATIKA TAIFA LETU. shida ya baadhi ya watu ni kuwa wao walishajiweka na kujijenga katika kupinga kila kitu ,kuwa vipofu wa kila kitu, kutokuona chochote kinachofanyika.
Wapo watu hata ufanye nini watalalamika na kupinga tu.hata ufanye yale waliyokuwa wanayahitaji muda wote bado utaona wanalalamika na kupinga tu hata kama utafanya katika namna ileile waliyokuwa wanaihitaji. Kwa hiyo watu wa namna hiyo ni ngumu sana kuridhisha mioyo yao.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Yataporomosha matusi na kunuka midomo utafikiri yameopolewa kwenye shimo la choo.Machadema yatanuna na kuanza kutukana Kwa stress 😁😁
Ndugu zangu watanzania,

Jamaa linaonekana lishamba sana halafu lijinga flani
Kwa nini nipoteze muda kuwasomeni chawa wakati agenda zenu ndio hizohizo..kujipendekeza mupate uteuzi.Kwa hakika wewe ni mjinga wa kiwango cha hali ya juu sanaa. Yaani Hujasoma halafu unakurupukia kwenda kucomment. Sasa una comment Nini Kama siyo dalili za uwendawazimu na ukichaa?
Ukiona mtu anamkubali rais kwa sababu za michezo badala ya sababu za kiuchumi na kijamii ujue ama ni chawa au ni mjinga.Mswaada wa bima ya afya kwa wote umekuwa sheria je wajua kwamba kila watu watatu wanatakiwa kulipa tshs 360000 mzee ???
Sisi tunaandika ukweli na siyo uchawa wala kutafuta uteuziKwa nini nipoteze muda kuwasomeni chawa wakati agenda zenu ndio hizohizo..kujipendekeza mupate uteuzi.
Taira tu wewe.Wewe BEN10 wa TULIA una matatizo ya akili...!!
Ningeshangaa huu uzi ungeandikwa na mtu mwenye akiliNdugu zangu watanzania,
Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa uliojitokeza mbele yake.sasa makundi mbalimbali kutoka kada mbalimbali yameamua kufuata nyayo za walimu .sasa yanajipanga kuchangishana pesa kwa kadri wawezavyo kwa ajili ya kumpatia Rais Samia kuchukulia Fomu ya Urais.
Hii ikiwa ishara ya kuonyesha upendo, kumkubali, kumuunga mkono na kuridhishwa na kazi kubwa na uchapa kazi wake aliouonyesha ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ,ulioleta na kuchochea maendeleo katika kila Secta.
Hii Ni kutaka kukata kiu ya mamilioni ya watanzania wanaohitaji kuona Rais Samia akipeperusha bendera ya CCM Katika uchaguzi ujao ,ili wamlipe kwa kumpigia kura za ndio kwa kishindo.
Jambo hili linafanyika ili kumpa nafasi Rais Samia Kuendelea na kazi kubwa aliyoianza ya kulijenga Taifa letu kwa miradi ya kimkakati na kuboresha huduma za kijamii kwa kiwango kilichoweka historia katika Taifa letu.
Wanataka Aendelee na kazi ya kuinua kilimo na wakulima,kutoa elimu bure na bora kulingana na wakati na maendeleo ya teknolojia,kutoa elimu ambayo wahitimu wake watakuwa bora na wenye sifa ,maarifa,ujuzi na uwezo wa kushindana katika soko la ajira la kimataifa.
Wanataka arejee ikulu tena kuendelea na kazi ya kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama, usambazaji wa umeme mpaka vijijini, utoaji wa ajira kwa vijana, uimarishaji wa demokrasia hapa Nchini, kuvutia uwekezaji na wawekezaji, kutoa huduma bora za afya na kwa gharama nafuu ambazo watanzania wanaweza kuzimudu bila kujali kipato chao.
Kuboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na wawe na morali ya kuwahudumia watanzania na kutoa huduma bora na stahiki kwa watu.
Kwa hakika Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe, haijawahi kutokea kiongozi akapata upendo mkubwa na kukubalika kama Rais Samia anavyopendwa na kukubalika na watanzania.
Ni uwe na chuki binafsi tu na roho mbaya tu ndio utamsema vibaya au kumchukia Rais Samia.lakini katika hali ya kibinadamu na kiuongozi kafanya makubwa sana yenye kumgusa kila mtu.
Kwa sababu kama ni ajira kwa vijana katoa kwa maelfu, kama ni kuwajali na kuwathamini Watanzania kafanya hayo yote.
Kama ni kulinda amani na usalama wa nchi yetu kimekuwa kipaombele chake.kama ni haki sasa imetamalaki hapa nchini.kama ni demokrasia imenawiri na kushamili mpaka watu imewalevya ,kama ni kujenga uchumi jumuishi na kujikita katika maendeleo ya watu kafanya mama yetu,kama ni kuboresha huduma za kijamii kafanya maajabu.
yaani sioni ni kipi ambacho unaweza kusema Rais Samia hajafanya KATIKA TAIFA LETU. shida ya baadhi ya watu ni kuwa wao walishajiweka na kujijenga katika kupinga kila kitu ,kuwa vipofu wa kila kitu, kutokuona chochote kinachofanyika.
Wapo watu hata ufanye nini watalalamika na kupinga tu.hata ufanye yale waliyokuwa wanayahitaji muda wote bado utaona wanalalamika na kupinga tu hata kama utafanya katika namna ileile waliyokuwa wanaihitaji. Kwa hiyo watu wa namna hiyo ni ngumu sana kuridhisha mioyo yao.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Ujinga mwingine muwe mnausema na familia zenu. Anayenunua kila goli Tsh miliono tano! Anashindwa kulipia fomu ? . Msiwafanye watanzaniz ni wajinga kiasi hicho. Najua hujatumwa ni kiherere chako tu.Ndugu zangu watanzania,

Watu wanamchangia Rais Samia pesa ili kuonyesha upendo kwake,kuridhishwa na uchapa kazi wake.kukidhi matarajio ya watanzania na kuonyesha kuwa wapo bega kwa bega na mama yao na kwamba wanahitaji utumishi wake kwa awamu nyingine tena.Ujinga mwingine muwe mnausema na familia zenu. Anayenunua kila goli Tsh miliono tano! Anashindwa kulipia fomu ? . Msiwafanye watanzaniz ni wajinga kiasi hicho. Najua hujatumwa ni kiherere chako tu.
Naunga mkono hojaHayo makundi yanaingia kwenye kumbukumbu ya kuangamiza nchi. Nchi ipo shimoni kisha yanakuja makundi yanatupia koleo za Udongo
Kwani nani kasema natafuta ubunge hapa jukwaani ndugu yangu.Usijali chawa utapata ubunge wa viti maalumu mwaka 2025