Pre GE2025 Makundi mbalimbali yajipanga kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sema simba watamchangia. YANGA wanajielewa hawawezi kufanya huo u
Yanga na Rais Samia ni damu damu.ndio maana hata alipowaambiaga wamalize suala la feisali uliona namna jambo lile lilivyokwisha haraka sana
 
Wala sipotezi muda kusoma huu upuuzi. Kama kuna jambo linaniogopesha ni samia kuendelea kua rais baada ya 2025. Ikitokea sitajinyonga. Iwe kihalali au kwa hila nitasubiri tu maisha yaende huku nikimpinga.
Kuna sababu za kimsingi sana wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi na nchi nzima kumpinga samia. Tulitaka kuelekea kujitegemea na usawa kwenye uchumi na kijamii. Samia anatupeleka njia yake kwenye ubwenyenye na wachache kumiliki uchumi.
 
Hakuna club ya mpira ambayo haitamchangia pesa Rais Samia.maana wana michezo wote wanatambua mchango mkubwa wa Rais Samia Katika kuleta hamasa kubwa sana katika Secta ya michezo.
Mswaada wa bima ya afya kwa wote umekuwa sheria je wajua kwamba kila watu watatu wanatakiwa kulipa tshs 360000 mzee ???
 
Kwa hakika wewe ni mjinga wa kiwango cha hali ya juu sanaa. Yaani Hujasoma halafu unakurupukia kwenda kucomment. Sasa una comment Nini Kama siyo dalili za uwendawazimu na ukichaa?
 
Machadema yatanuna na kuanza kutukana Kwa stress 😁😁
 
Wewe BEN10 wa TULIA una matatizo ya akili...!!
 
Kwa hakika wewe ni mjinga wa kiwango cha hali ya juu sanaa. Yaani Hujasoma halafu unakurupukia kwenda kucomment. Sasa una comment Nini Kama siyo dalili za uwendawazimu na ukichaa?
Kwa nini nipoteze muda kuwasomeni chawa wakati agenda zenu ndio hizohizo..kujipendekeza mupate uteuzi.
 
Mswaada wa bima ya afya kwa wote umekuwa sheria je wajua kwamba kila watu watatu wanatakiwa kulipa tshs 360000 mzee ???
Ukiona mtu anamkubali rais kwa sababu za michezo badala ya sababu za kiuchumi na kijamii ujue ama ni chawa au ni mjinga.
 
Ningeshangaa huu uzi ungeandikwa na mtu mwenye akili
 
Ujinga mwingine muwe mnausema na familia zenu. Anayenunua kila goli Tsh miliono tano! Anashindwa kulipia fomu ? . Msiwafanye watanzaniz ni wajinga kiasi hicho. Najua hujatumwa ni kiherere chako tu.
 
Ujinga mwingine muwe mnausema na familia zenu. Anayenunua kila goli Tsh miliono tano! Anashindwa kulipia fomu ? . Msiwafanye watanzaniz ni wajinga kiasi hicho. Najua hujatumwa ni kiherere chako tu.
Watu wanamchangia Rais Samia pesa ili kuonyesha upendo kwake,kuridhishwa na uchapa kazi wake.kukidhi matarajio ya watanzania na kuonyesha kuwa wapo bega kwa bega na mama yao na kwamba wanahitaji utumishi wake kwa awamu nyingine tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…