Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

Yaani mada yako haina uhalisia na ugaidi tunao ujua hapa duniani. Nadhani kuna upande umelenga lakini ukweli unaujua moyoni mwako juu ya dhehebu linalo endesha vikosi vya Ugaidi dunia nzima.
Wewe unawajua Lord Resistance Army au Antibalaka? sio unabwabwaja tu hapa.

Mauaji aliyokwishafanya Joseph Koni sio ya kitoto Alshababu wakazome! na anajiita mtumishi wa Mungu.
 
Umeyasahau magaidi ya serikali ya Myanmar chini ya yule mama jinsi yalivowaangamiza na kuwateketeza vibaya wale jamii ya Rohingya.
 
Ukristo hauna makundi ya kigaidi mkuu, hayo ni makundi ya kiharakati na kisiasa yanayopigania maslahi ya jamii zao. Usitake kulinganisha hayo makundi na yale ya kiislam
Umeelewa lakini nilichokielezea kwenye hayo makundi...

Ugaidi wa kikristo ni tofauti na ugaidi wa kiislamu... Ugaidi wa kikristo ni kuwa magaidi wengi wanapigania Madhehebu yao ya kikristo na ndio maana ukisoma nilichokiandika utaona kuna magaidi wa kikatoliki, magaidi wa kiprotestant na wengine na wote wakiwa chini ya kivuli cha ukristo, yani wanapigania jamii za madhehebu yao ya kikristo, wakati gaidi wa kiislamu yeye anapigania uislamu kwa ujumla.

Kabla ya kuleta ubishi, elewa kwanza maana ya ugaidi wa kidini
 
Huyo ni mjinga na hayaelewi hayo makundi analeta udini hapa! muulize hivi amewahi kulisikia timbwili la Lord Resistance Army na Antibalaka? wale wameuwa sio polepole.
 
Yan umekaa wee umeamua kufufua makundi yaliyokufa ili mzani ukae sawa haya tutajie wamejilipua lini na mabomu toka mwaka uanze
Ila ya kiislamu ni mengi sana aisee tukiyataja thread haitatosha
Duuu wewe Muislam yaani unataka kutuaminisha kuwa yanalingana na Yale yanayohamashishwa na ALLAH, yule SHETANI MKUBWA kabisa? Hebu ona Allah anavyomfunza huyu mtoto mdogo kabisa NAMNA ya kumchinja mtu

View: https://x.com/leeonskee/status/1748308647535411380?s=20
 
Wewe unawajua Lord Resistance Army au Antibalaka? sio unabwabwaja tu hapa.

Mauaji aliyokwishafanya Joseph Koni sio ya kitoto Alshababu wakazome! na anajiita mtumishi wa Mungu.
We fala kweli, Joseph K umefanya ukatili kana Wa Al-Shabaab au akili yako iko makalioni tu
 
Ukristo na ugaidi ni vitu 1000 tofauti kabisa katafute jambo lingine la kuandika, huo ni uongo
 
Una upendeleo mbona Chadema ujaitaja?
 
Wewe unawajua Lord Resistance Army au Antibalaka? sio unabwabwaja tu hapa.

Mauaji aliyokwishafanya Joseph Koni sio ya kitoto Alshababu wakazome! na anajiita mtumishi wa Mungu.
Joseph kony mwamba ni jau sana kule northen uganda. Ila inasemekana ni njama moja na mze museveni, pia wanasapotiwa na mmarekani. Hivyo uwepo wa kony unarahisisha upatikanaji wa siraha kwa museveni kutoka nje.
All in all, vikundi vyote vinaumiza sana raia na sio serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…