Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

Kuna mdau hapa anauliza kama na yeye anataka kuanzisha kundi lake la Wakristu magaidi hapa Tanzania ananzaje anzaje? Anataka kujuwa pia anapata wapi wadhamani.

Mwache aanzishe tu atakipata akitakacho, hajui kuwa waislamu ni wengi zaidi ya upagani!
 
 
Nadhani mleta mada ungeanza kutufafanulia maana halisi ya ugaidi ni nini.
Humu wengi nimewasoma wanasema ooh hayo si makundi ya kigaidi ni makundi ya kiharakati za kisiasa.
Maana halisi ya ugaidi ni dhamiri ya matumizi ya nguvu ama vitisho kwa unufaikaji binafsi wa mlengwa kisiasa ama kiaidiolojia kwa kutumia mwamvuli wa siasa ama dini .
Kwahiyo hayo ni makundi ya kigaidi kama makundi mengine ya kigaidi.
Antibalaka katumia mwamvuli wa dini na siasa kwa pamoja ili kunufaika kisiasa kama ilivyo Myanmar walivyoua wahanga wa Rohingya.
Hao wote ni magaidi.
Japo muheshimiwa umemsahau gaidi mkuu USA,UK NA FRANCE.
 
@Yericko Nyerere
 
duuh. hatari kweli kweli. sasa si utaliwa hadi t-go hukuwa unasubiri mungu akupiganie wakati kakupa akili.
 
je huwa wanajilipua hovyo kweny jamii ?
 
Bwana Yesu anasema ktk

LUKA 19:27

Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa MWACHINJE mbele yangu.

Na Akahimiza ktk MATHAYO 10:34 Kuwa " Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali UPANGA. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.
Na akatoa AMRI kwa wafuasi wake wote kwenye
LUKA 22:36 Na KAHIMIZA WAFUASI WAKE KWENYE LUKA 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na UPANGA, na auze joho lake akanunue.

Kwahio KUUA KWA UPANGA NA KUCHINJANA tumefunzwa na BIBLIA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…