Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

Ugaidi ni hatari
 
Ukristo hauna makundi ya kigaidi mkuu, hayo ni makundi ya kiharakati na kisiasa yanayopigania maslahi ya jamii zao. Usitake kulinganisha hayo makundi na yale ya kiislam
Mauaji ya aina yoyote,kwa wasio na hatia ni UGAIDI.
 
Ukristo hauna makundi ya kigaidi mkuu, hayo ni makundi ya kiharakati na kisiasa yanayopigania maslahi ya jamii zao. Usitake kulinganisha hayo makundi na yale ya kiislam
Ulichoandika hapa hakina tofauti na fikra za wagalatia asilimia 99%.
Nyie makafiri mkimuona Joseph ambae ni muumin wa imani yenu ya kuabudu sanamu la mzungu na Mtu wa KANISANI KILA SIKU anaua watu kwa silaha mtatangaza kuwa Joseph alikuwa na ugonjwa wa akili na alilelewa kwenye mazingira magumu utotoni. Na tumsamehe bure.

Lln siku Akipita Abdul ambae hata rangi ya msikiti haijui kisha akaiba andazi tu kwa mama ntilie. BASI makafiri mtatangaza "GAIDI LA KIISLAMU LIITWALO ABDUL. LIMETISHIA AMANI KWENYE HOTELI YA CHAKULA .NA KUSABABISHA MTAFARAKU MKUBWA.

Yaani makafiri ovyo kabisa.
Mmegeuzwa km wasanii wachovu. 😂
 
Hii nchi udini hautaisha kinachoshangaza tunajifanya wajuaji kuliko wenye dini zao ndio maana kama nchi hatusogei kwasababu hakuna umoja wa kweli.
 
Hii nchi udini hautaisha kinachoshangaza tunajifanya wajuaji kuliko wenye dini zao ndio maana kama nchi hatusogei kwasababu hakuna umoja wa kweli.
Huwezi kuwa na umoja baina ya watu wenye KUABUDU SANAMU LA MZUNGU na watu WENYE KUABUDU MUNGU MMOJA.
Hilo haliwezi kuwepo wala kutokea ktk Nchi yyt.

Na suala la kuendelea kuwa maskini halihusiani na imani yyt. SISI WATANZANIA WENGI HATUNA UZALENDO.
Viongozi wengi WIZI NA WALA RUSHWA wasiojali Nchi yao.

Tazama mfano wa Hayati Magufuli. Juu ya kasoro zake yule ndio alio onyesha Uzalendo wa Kweli.
 
Tulipata uhuru wa bendera pekee lakini uchumi, udini na ukabila bado tupo utumwani, wakoloni wamefanikiwa sana kuendelea kututawala kiuchumi na kifikra.
 
Tulipata uhuru wa bendera pekee lakini uchumi, udini na ukabila bado tupo utumwani, wakoloni wamefanikiwa sana kuendelea kututawala kiuchumi na kifikra.
Sio kweli.
Km Udini unaleta umaskini Waarabu wangekuwa maskini sana lkn leo wao ndio matajiri wakubwa wanao ongoza Duniani.
Na Sababu sio Mafuta tu.
Ni UZALENDO.
Hata Nigeria wana Mafuta mengi sana lkn HAKUNA UZALENDO. Kila kiongozi anatafuta nafasi ya KUIBA NA KUJENGA KWAO.
MASKIN HANA WA KUMTETEA.

WAAFRIKA TUNA LAANA YA UBINAFSI.
Wala usilaumu DINI YYT.
 
Unadhani nini kifanyike ili iwe Suluhu ya wizi, ufisadi na rushwa ukizingatia ni ngumu kupata watu waaminifu?
 
Unadhani nini kifanyike ili iwe Suluhu ya wizi, ufisadi na rushwa ukizingatia ni ngumu kupata watu waaminifu?
Ni Sisi wenyewe binafsi kuanza kuonyesha uzalendo wa KWELI KWELI hapa Nchini KWA VITENDO.
Mfano , mimi popote pale nikiona RAIA ananyanyaswa na ASKARI YYT bila sababu basi LAZIMA niingilie, nikiona mzee anahitaji msaada wwt ninaoweza kuumudu basi Sisubiri hata Dakika moja kuutoa.
Nikiona watoto wa shule Wanataka kuvuka Brbr Lzm nifanye hivyo. na mengine mengi
Anza na wewe kwanza.
Kipi unafanya KWA VITENDO KUONYESHA UZALENDO WAKO?

UZALENDO UNAANZIA NDANI YA JAMII KWANZA kisha unakwenda mpk Serikalini.

Watanzania hata sisi kwa sisi hatuoneani Huruma wala Imani.
Mimi Muislamu lkn nimekua karibu sana na watu wa KANISA.
UDINI miaka ya 70 mpk late 80s haikuwa Issue kabisa ktk jami yetu.

Leo ndio kumejaa washenzi wasio na kazi ndio wanaoleta mtafaruku .
 
Hakuna mahala kwenye biblia mbegu ya ugaidi imepandwa ila sasa ingia kwenye kitabu flani uone kwamba chanzo cha ugaidi ni hicho kitabu migaidi ni ile mivaa kanzu na kobazi huku ikifuga vichaka vya ndevu
 
Kafiri Elimu huna lkn siko reeefu Ka mkojo WA mlevi

Msikilize YESU anasema NINI KTK BIBLE.

LUKA 19:27
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

Sasa nionyeshe kwenye Quran Mstari km huo WA kulasimishana kuchinjana
Kelbu wahedi
 
Gaidi mwandamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…