Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

Kuna waasi na magaidi, tofautisha
 
Dini ni uongo, dini ni mbinu za kikoloni, dini ni biashara, dini ni unafki.. Mungu hakuunda dini!!?

Dini ni kichaka Cha uovu
Dini ni utapeli

Kataa ndoa na dini😂
 
Wakristo pia waliua sana miaka hiyo kulikuwa na vita ya msalaba.
Yaweza kuwa waliua zaidi watu wengi kuliko hata ambavyo itikadi kali wameua watu kwa kipindi chote.
 
Vipi hili la mungu kukamatwa na kupigwa misumali juu ya mti na watu aliowaumba mwenyewe!
Kila siku Mungu huwa anakuwa abused na watu wake, hilo ni kawaida sana au haujawahi kuona watu wakim abuse Mungu na maagizo yake?
 
Lords Resistance Army - LRA hapo Uganda, kundi la kwanza la Ugaidi Afrika Mashariki.

Makundi ya kigaidi ya Kiyahudi waliounda israel
Makundi ya Kigaidi ya kikristo Under Nazi Germany na Jeshi lenyewe la Hitler

Makundi ya Kigaidi ya Kikristo yaliofanya Mauaji ya Kimbari Serbia na Maeneo mengi ya Eastern Europe

Spanish inquisition
Ugaidi wote uliofanywa na majeshi ya Warumi walipoingia kwenye Ukristo

Soma historia yako, soma biblia yako

Hii label ya Ugaidi ni rahisi sana kubandika yeyote usiyekubaliana naye
 
Lord resistance army kikundi Cha Joseph kony hapo Uganda, kinapigania kuanzishwa kwa serikali itakayofata amri 10 za Mungu, làkini ajabu wanaiba, wanabaka na kuua.
 
Tatizo Wa Africa Tongo tongo Ni Nyingi Mimi Hua Nawashangaa Sana Wakristo Wanaona mwislam Hayuko Njia Sahihi na Nawashangaa Waislam Wanaona Wakristo Hawako Njia Sahihi Wakati wote Ni Monotheism".

Hapo ndipo Napogundua Uwezo wa Kufikilia na kupembua mambo wa Waumini wa Hizi Dini mbili Ni mdogo Sana".

Cha kujiuliza tu Je Adolf Hitler alikuaa mwislam?,Samurai Ni Waislam?Cosa nostra(mafioso) Ni waislam? Bloods&crips Ni waislam?

Kuna mtu aliua watu Wengi dunia hi kuliko Hitler?je ulishawahi kusikia Hitler akiitwa Gaidi?

Nakuacha na Tafakuri ndogo tu angalia kwenye ramani ya Dunia Kama Kuna nchi yoyote ya kiarabu au Ina magenge ya kiarabu palipo na vita alafu Hakuna manufaa kwa Western countries/America Kama Ipo Nipigwe ban ya week nzima JF
 
Kwasasa Duniani hakuna kikundi kinacho tumia jina la Dini ya Kikristo kuuwa watu:
Wamebakia hao hao:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…