YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ukifuatilia vizuri na kuhoji watu mbalimbali wanaonaje matokeo yanayoendelea kura za maoni za CCM jibu utakalopewa ni kuwa yale makundi yaliypshindwa kuchukua nchi 2015 yakiwemo mafisadi na vibaraka wao na waliohujumu CCM uchaguzi wa 2015 yameanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni maeneo mbalimbali .Lengo lao la kurudi kwa kasi na kushinda kwa kasi ya mwewe ni kujijenga kundi lao tayari kwa kuweka mtu wao 2025 Magufuli anapoondoka.Wako focused serious na wanataka lazima mtu wao awepo 2025
Inavyoonyesha ni kuwa kipindi chote cha kuanzia 2015 wao wamekuwa wakihangaika kujijenga upya na ku jimobilize tayari kwa 2025.Ndio maana wengi wamefanikiwa kwa kasi ya ajabu na kwa kura nyingi kushinda kura za maoni.Mwenyekiti Magufuli mtihani wake mkubwa kipindi hiki ni pamoja na kuandaa mrithi sio tu kufanya kazi za kawaida asipoandaa haya makundi yako tayari kuweka mmoja wao.Kwenye mchujo CCM iwe makini sababu mchujo wa safari hii ndio utaamua hatima ya uraisi 2025
Ushindi wa kimbunga wanaoupata ni maandalizi ya 2025 wala hawalengi tu kupata ubunge na udiwani!!!