Uchaguzi 2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

Uchaguzi 2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

Inawezekana.mfano jimbo la njombe mjini.aliyeongoza kura za maoni ni Deodatus Mwanyika.mtu ambae amekaa ndani kwa kosa la kuhujumu uchumi.alipo kiri kwa DPP alilipa bilioni 2.leo anagombea ubunge.anachotafuta ni nini?halmashauri kuu ya ccm muwe makini na hizo teuzi.
Deo sanga makambako nae kaongoza kwa kishindo.nani asiye jua kuwa huyu ni kikwete timu?nani asiyejua kuwa ni miongoni mwa waliokuwa wanapitisha mizigo pale bandarini free?nani asiyejua kuwa alimchezea rafu nyingi Philipo Mangula kipindi wangombeanafasyamwenyekitmkoa wa Iringa na baadae njombe?Ni hatari huyu mtu kubaki kwenye mfumo.
 
Back
Top Bottom