Uchaguzi 2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

Nimekubali CCM ina wenyewe na wenyewe ndio Hao Wamerudi Prof Kapuya,January Makamba,Nape,Abass Mtemvu,Zungu,Ridhwan,Salma Kikwete,Magreth Sitta,Jerry Slaa nk sijui Utamkata Nani umuache Nani Wameshinda kwa kura nyingi mno
 
Kwa hii video makonda bado ana nafasi.
Your browser is not able to display this video.
 
Siku kuna taarifa mwenyekiti wenu anaongeza muda wa kukaa madarakani, ndio maana anapanga team yake na yeye ili akabadilishe katiba, ndio maana mnaweka kwenye ilani yenu ya chama, kwa hiyo hayo mafisadi wenu huko chama chenu hawatapata nafasi ondoa hofu.
 
Wengi hiyo mikundi iliyohujumu CCM na Mifisadi na wafuasi wao wa hiyo mikundi wengi wamechukua fomu kutia nia ili kuongeza chances za kushinda!!! Kamati za kuchuja kazi kwenu
Waliohukumi nani na kifupi?
 
Nilikuwa nakula sasa nimeacha ghafla kusikia sasa chama chini ya Magufuri kinapendwa.
 
atleast leo umeongea point, na wewe unaweza kuonekana 'mutu'
 
Wewe makonda saizi ni raia mwema 😂, ukikataliwa tulia Kuna maisha nje ya uongozi!!!
Wewe hujuwi kitu kwenye medani za Uongozi....Makonda ni kiongozi mzuri sana sema tu ana hulka Fulani ya Misifa jambo ambalo linarekebishika.... Naumia sana anapokosekana kwenye uongozi nakumbuka na Kumiss ile amsha amsha yake......
 
Mwambie aje kwako akuongoze na familia yako
 
Wewe hujuwi kitu kwenye medani za Uongozi....Makonda ni kiongozi mzuri sana sema tu ana hulka Fulani ya Misifa jambo ambalo linarekebishika.... Naumia sana anapokosekana kwenye uongozi nakumbuka na Kumiss ile amsha amsha yake......
Sema ulikuwa mnufaika wa uhuni wake
 
hao mafisadi.....
ni kina nani?
walikuwa convicted lini?
walikuwa convicted na mahakama ipi?

tukiweza kujibu haya maswali then wala hakuna haja ya kuwahofia 2025!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…