Makundi ya pro-Russia jukwaani na mitaani baada ya uvamizi huko Ukraine

Hawa watakuwa vilaza wa kutupwa. Mbona Marekani ni Mshirika mkubwa wa Saudi Arabia ulipozaliwa Uislamu! Pia ni mshirika wa mataifa mengi sana ya Kiislamu. Halafu mbona watu wengi wanaotoka mataifa ya Kiarabu wanakimbilia US na sio Russia?
Labda niongezee tu hapo, saudi arabia mpaka silaha ananunua za US, matajiri wengi wa Saudi Arabia, hasa familia zao na vijana wao, maisha wanaenda kula bata US na nchi za Ulaya.
 
This is nonsense Mimi ni mkristo lakini team Putin
 
Hata Wewe umeonyesha dhahiri shahiri upo upande wa pro Nato. Huna Hadhi ya ku lecture Pro Russia.

Kabla ya Hii Vita Kila chombo cha magharibi walikuwa wakiwareport Azov kama kikundi cha kuhalifu/Kigaidi, Nenda BBC, CNN, TIMES na wengineo wote wana Makala zao, Azov wana mauaji makubwa Ulaya na Marekani Hata kina ISIS hawaingii ndani,

Baada ya Hii vita kuna Nguvu kubwa ya ku wa Whitewash, vyombo hivyo hivyo sasa vinawasafisha as if ni watu wazuri.

Mtu yoyote ambaye yupo Neutral atawaonea Huruma raia wa kawaida wa Ukraine, Si Urusi wala Si Jeshi la Ukraine linajali Raia, ila Kujifanya eti upande fulani upo vizuri zaidi huo ni unafiki tu.
 
Labda niongezee tu hapo, saudi arabia mpaka silaha ananunua za US, matajiri wengi wa Saudi Arabia, hasa familia zao na vijana wao, maisha wanaenda kula bata US na nchi za Ulaya.
Hujui lolote Kuhusu Waarabu, Destination Kubwa ya Hao waarabu wa Gulf si Ulaya na Marekani bali ni Asia, Nenda Thailand Pataya huko, Maldies, Bali etc utawakuta Kibao, Even huku Kwetu wanakuja kwa wingi.

Utalii mwingi wa Ulaya na Marekani upo Pia Middle east, vitu kama Maghorofa, ice skating, michezo mbalimbali, Mabwawa etc.
 
Kuna waisilima kibao Pro Nato humu, ila sababu ya Chuki zako utaona otherwise,

Unless unaongelea pro Iran wamekua pro Russia.
 
Yatakwambia Congo haijaisaidia Tanzania ila USA ameleta KY ili warafiane vizuri, wakati kila Weekend wanainjoy ngoma za ferre gola wakinywa bia zao bar! Wabongo wanafiki sana
 
Mkuu wewe uko upande gani? Nina hakika wale wanao shabikia watakua watoto but still bado hata sisi watu wazima tunaweza kujikuta tunao UPANDE tunao unga mkono (hapa sio issue ya ushabiki bali either kuunga mkono au kupinga yule) so wewe mleta UZI uko wapi? Baada ya hapo, hebu sote tupitie hapa pia Mwandishi wa Habari wa Kiitaliano, Angelo d'Orsi adai Mgogoro wa Ukraine ni Vita kati ya NATO dhidi ya Urusi
Inaonekana hata wazungu nao huko huko kwao nao wana UPANDE wanao unga mkono (narudia, kuunga mkono ni tofauti na kushabikia, hili la kushabikia tuwaachie vijana walio zaliwa karne hi ya 21 )
 
Kwa mkristo ondoa Ukrane na Urusi wote wakristo wote hawapingi ukristo ila waislamu wanaamin Urusi ni kipenz cha dini ya uislamu kisa an tuclip anawatetea waislamu ila waislam hao hao hawaoni USA alivyo weka mazingira mazur kwa waislam waishio USA tofaut na ukienda huko China au Urusi kuwa muislamu ni kosa kubwa sana
 
Lengo la mada hii ni kitu gani? Maana kama hao wote ni waongo au hawajui kitu. Sasa ukweli ni upi? Tulinganishe hayo uliyosem tujue anaeufahamu chanzo cha mgogoro ni nini. Otherwise hutakuwa na tofauti nao
Uvamiz haukubalik
 
Uongo huwa unakanushwa kwa kuweka ukweli. Sasa huo ukweli uko wapi.

Usifikirie kila mtu anauwezo mdogo wa kufikiri. Tupe historia au chanzo cha vita ni kipi ili "tuone na kuujua ukweli"
Chanzo cha Vita ni Urusi kuivamia Ukraine , au unachanzo kingine?
 
Balance of power hailetwi kwa kuvamia taifa nyonge , acha uchiz hlf unaeza kuta ni mtu mzm umeleta hoja hii , mnatuabisha sn , kwan China kavamia nan Kipind hiki ? Kwan haishindani na west? Piga kaz na sio kutaka balance ya kihuni ( mseleleko ) , west hawalali wanapambania status yao
 
Uislamu haukuzaliwa Saudia Arabia kama umesoma biblia,,,chanzo cha huu mgogoro wa Urusi ungekijua ungekua upande wa Urusi.
Acha uzuz , Kama warusi wanapinga ww upo buza ndo unatetea eti unajua historia ya huu mgogoro , Ukraine imekuwa mwema sana kww Urusi kwa zaid ya miaka 20 ila Urusi haeshimu utawala wa ndani wa nchi majirani wake , hlf ww upo bonyokwa ndo unauona wema wa Urusi
 
Safi Sana umeeleza vizuri 👍
 
Kwanini haya malalamiko yenu ya vita hayakuanza Marekani na Israel walipofanya unyama wao??? Hivi pro America huwaga mnahoja gani ambayo ina mashiko??

Sasa labda tuwambie ukweli kuwa asilimia 80 ya hicho ulichokiandika ni hoja za kweli ila nyinyi mnakuwaga hampendi ukweli

Kwanfano Urusi alipoanza kufanya Operations zake dhidi ya wanazi kwa kulinda usalama wake mnakasirika sana ila kwa Marekani kutoka distance ya miles kutoka bara America mpaka bara Asia kwenda kuuwa mamilions ya watu wasiokua na hatia kwa sababu za chuki zake anazozielewa inakua ni sawa na mnafurahia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…