Makundi ya pro-Russia jukwaani na mitaani baada ya uvamizi huko Ukraine

Makundi ya pro-Russia jukwaani na mitaani baada ya uvamizi huko Ukraine

Hawa watakuwa vilaza wa kutupwa. Mbona Marekani ni Mshirika mkubwa wa Saudi Arabia ulipozaliwa Uislamu! Pia ni mshirika wa mataifa mengi sana ya Kiislamu. Halafu mbona watu wengi wanaotoka mataifa ya Kiarabu wanakimbilia US na sio Russia?
Labda niongezee tu hapo, saudi arabia mpaka silaha ananunua za US, matajiri wengi wa Saudi Arabia, hasa familia zao na vijana wao, maisha wanaenda kula bata US na nchi za Ulaya.
 
6. Wanaoshangilia hii vita kwa kuchukua upande wa urusi au ukraine kwa kigezo cha dini

Muislamu atamshangilia Mrusi kwasababu Marekani anayemsaport ukraine amekuwa na migogoro na nchi za kiislamu

Mkristo anaisaport Ukraine kwakua Marekani kuna implication ya imani ya kikristo
This is nonsense Mimi ni mkristo lakini team Putin
 
Tangu uvamizi wa Russia nchi Ukraine uanze Pro-Putin/Russia naweza kuwagawanya katika makundi matano

1. Wanaozungumzia huu uvamazi wa Urusi kwa upande wa Historia ila bahati mbaya historia imewapitia kushoto au ni ile historia waliyoisikia vijiweni tu kwa watu ambao hawajakanyaga hata darasa moja la Historia. Hapo utasikia NATO ilikuwa na makubaliano na Russia isijitanue kuelekea Urusi ikayakiuka, au kuna makubaliano/mkataba wa Russia na Ukraine isijiunge NATO . Hawa wanajitahidi ila Historia waliyo nayo ni uongo na hawana ushahidi wowote wa kihistoria.

2. Wanaozungumzia huu mgogoro kwa nadharia njama "conspiracy theories". Hawa wataongolea biolabs, ushoga, Covid, monkeypox, NWO na ujinga mwingine mwingi. Hawa ni wa kupuuzwa tu.

3. Wanaozungumzia huu uvamizi kama ushabiki wa Simba na Yanga tu. Hawa utasikia wanasema Ukraine sio Zimbabwe, NATO amezidiwa kila kitu na Russia, NATO kama mwanaume aingie vitani kupigana, dunia haiwezi kuwa na mbabe mmoja tu, Chechens wamekiwasha. Hawa wengi wao nafikiri ni watoto wa 2000 na hawajui hata maana ya vita nini.

4. Wanaompenda Putin na kushangilia uvamizi wake kwa sababu eti hata US au NATO huwa anavamia nchi nyingine na kwasababu hiyo taifa lingine lenye nguvu linaweza kufanya hivyo pia. Hawa ukianza kuwachumbulia case moja moja hoja yao inayeyuka kama povu

5. Wanaoamini NATO hasa US wame stage huu mgogoro kwa maslahi yao binafsi hasa ya kuuza silaha au wengine wanasema kuimuza Russia. Hapa utawakuta baadhi ya wasomi.
Hata Wewe umeonyesha dhahiri shahiri upo upande wa pro Nato. Huna Hadhi ya ku lecture Pro Russia.

Kabla ya Hii Vita Kila chombo cha magharibi walikuwa wakiwareport Azov kama kikundi cha kuhalifu/Kigaidi, Nenda BBC, CNN, TIMES na wengineo wote wana Makala zao, Azov wana mauaji makubwa Ulaya na Marekani Hata kina ISIS hawaingii ndani,

Baada ya Hii vita kuna Nguvu kubwa ya ku wa Whitewash, vyombo hivyo hivyo sasa vinawasafisha as if ni watu wazuri.

Mtu yoyote ambaye yupo Neutral atawaonea Huruma raia wa kawaida wa Ukraine, Si Urusi wala Si Jeshi la Ukraine linajali Raia, ila Kujifanya eti upande fulani upo vizuri zaidi huo ni unafiki tu.
 
Labda niongezee tu hapo, saudi arabia mpaka silaha ananunua za US, matajiri wengi wa Saudi Arabia, hasa familia zao na vijana wao, maisha wanaenda kula bata US na nchi za Ulaya.
Hujui lolote Kuhusu Waarabu, Destination Kubwa ya Hao waarabu wa Gulf si Ulaya na Marekani bali ni Asia, Nenda Thailand Pataya huko, Maldies, Bali etc utawakuta Kibao, Even huku Kwetu wanakuja kwa wingi.

Utalii mwingi wa Ulaya na Marekani upo Pia Middle east, vitu kama Maghorofa, ice skating, michezo mbalimbali, Mabwawa etc.
 
6. Wanaoshangilia hii vita kwa kuchukua upande wa urusi au ukraine kwa kigezo cha dini

Muislamu atamshangilia Mrusi kwasababu Marekani anayemsaport ukraine amekuwa na migogoro na nchi za kiislamu

Mkristo anaisaport Ukraine kwakua Marekani kuna implication ya imani ya kikristo
Kuna waisilima kibao Pro Nato humu, ila sababu ya Chuki zako utaona otherwise,

Unless unaongelea pro Iran wamekua pro Russia.
 
Acheni mvua iendelee kunyesha tuone panapovuja.

Wa afrika wenzenu kila siku wanauawa kwenye uwanja wa mapigano huko DRC, Somalia, Sudan, Ethiopia na n.k lakini mmekaa kimya tu wala hampigi kelele mkekaa kimya as if wanaokufa huku siyo watu ni nguruwe ila Ukraine na ulaya ndo watu si ndiyo?
Wa afrika wengi wamejaa unafiki sana na wengi ni bendera fuata upepo, jitu lipo tayari kukaa hapa kutwa nzima kuwatetea watu wa ulaya kuliko kulaani angalau hata kwa dakika chache tu, mauaji ya wakongo wanaokatwa vichwa kila kukicha.

Acha ulaya nao walionje joto la jua ili wajaribu kuishi maisha ambayo ndo yamekuwa maisha ya wenzao huku afrika na bara la asia kwa miaka mingi sasa.

Nachukia sana kuona Mtu mweusi kutoka Afrika anaejikuta anatetea migogoro ya ulaya nakukaa kimya kinachoendelea ndani ya bara lake na kwa majirani zake.

Shame on you poor Africans [emoji17]
Yatakwambia Congo haijaisaidia Tanzania ila USA ameleta KY ili warafiane vizuri, wakati kila Weekend wanainjoy ngoma za ferre gola wakinywa bia zao bar! Wabongo wanafiki sana
 
Mkuu wewe uko upande gani? Nina hakika wale wanao shabikia watakua watoto but still bado hata sisi watu wazima tunaweza kujikuta tunao UPANDE tunao unga mkono (hapa sio issue ya ushabiki bali either kuunga mkono au kupinga yule) so wewe mleta UZI uko wapi? Baada ya hapo, hebu sote tupitie hapa pia Mwandishi wa Habari wa Kiitaliano, Angelo d'Orsi adai Mgogoro wa Ukraine ni Vita kati ya NATO dhidi ya Urusi
Inaonekana hata wazungu nao huko huko kwao nao wana UPANDE wanao unga mkono (narudia, kuunga mkono ni tofauti na kushabikia, hili la kushabikia tuwaachie vijana walio zaliwa karne hi ya 21 )
 
6. Wanaoshangilia hii vita kwa kuchukua upande wa urusi au ukraine kwa kigezo cha dini

Muislamu atamshangilia Mrusi kwasababu Marekani anayemsaport ukraine amekuwa na migogoro na nchi za kiislamu

Mkristo anaisaport Ukraine kwakua Marekani kuna implication ya imani ya kikristo
Kwa mkristo ondoa Ukrane na Urusi wote wakristo wote hawapingi ukristo ila waislamu wanaamin Urusi ni kipenz cha dini ya uislamu kisa an tuclip anawatetea waislamu ila waislam hao hao hawaoni USA alivyo weka mazingira mazur kwa waislam waishio USA tofaut na ukienda huko China au Urusi kuwa muislamu ni kosa kubwa sana
 
Lengo la mada hii ni kitu gani? Maana kama hao wote ni waongo au hawajui kitu. Sasa ukweli ni upi? Tulinganishe hayo uliyosem tujue anaeufahamu chanzo cha mgogoro ni nini. Otherwise hutakuwa na tofauti nao
Uvamiz haukubalik
 
Uongo huwa unakanushwa kwa kuweka ukweli. Sasa huo ukweli uko wapi.

Usifikirie kila mtu anauwezo mdogo wa kufikiri. Tupe historia au chanzo cha vita ni kipi ili "tuone na kuujua ukweli"
Chanzo cha Vita ni Urusi kuivamia Ukraine , au unachanzo kingine?
 
Ndiyo maana unajikojoleaga kitandani kizembe ,je sidi tunso jua umuhimu wa balance ya dunia katika nguvu.

Wewe unaoshabikia nato na usa [emoji631] nisawasawa na watu mnaopinga mfumo wa vyama vingi na kutaka chama kimoja, sidi tunso shabikia urusi tunataka mgawanyo wa nguvu za kidunia wenye balance.
Balance of power hailetwi kwa kuvamia taifa nyonge , acha uchiz hlf unaeza kuta ni mtu mzm umeleta hoja hii , mnatuabisha sn , kwan China kavamia nan Kipind hiki ? Kwan haishindani na west? Piga kaz na sio kutaka balance ya kihuni ( mseleleko ) , west hawalali wanapambania status yao
 
Uislamu haukuzaliwa Saudia Arabia kama umesoma biblia,,,chanzo cha huu mgogoro wa Urusi ungekijua ungekua upande wa Urusi.
Acha uzuz , Kama warusi wanapinga ww upo buza ndo unatetea eti unajua historia ya huu mgogoro , Ukraine imekuwa mwema sana kww Urusi kwa zaid ya miaka 20 ila Urusi haeshimu utawala wa ndani wa nchi majirani wake , hlf ww upo bonyokwa ndo unauona wema wa Urusi
 
Hata Wewe umeonyesha dhahiri shahiri upo upande wa pro Nato. Huna Hadhi ya ku lecture Pro Russia.

Kabla ya Hii Vita Kila chombo cha magharibi walikuwa wakiwareport Azov kama kikundi cha kuhalifu/Kigaidi, Nenda BBC, CNN, TIMES na wengineo wote wana Makala zao, Azov wana mauaji makubwa Ulaya na Marekani Hata kina ISIS hawaingii ndani,

Baada ya Hii vita kuna Nguvu kubwa ya ku wa Whitewash, vyombo hivyo hivyo sasa vinawasafisha as if ni watu wazuri.

Mtu yoyote ambaye yupo Neutral atawaonea Huruma raia wa kawaida wa Ukraine, Si Urusi wala Si Jeshi la Ukraine linajali Raia, ila Kujifanya eti upande fulani upo vizuri zaidi huo ni unafiki tu.
Safi Sana umeeleza vizuri 👍
 
Kwanini haya malalamiko yenu ya vita hayakuanza Marekani na Israel walipofanya unyama wao??? Hivi pro America huwaga mnahoja gani ambayo ina mashiko??

Sasa labda tuwambie ukweli kuwa asilimia 80 ya hicho ulichokiandika ni hoja za kweli ila nyinyi mnakuwaga hampendi ukweli

Kwanfano Urusi alipoanza kufanya Operations zake dhidi ya wanazi kwa kulinda usalama wake mnakasirika sana ila kwa Marekani kutoka distance ya miles kutoka bara America mpaka bara Asia kwenda kuuwa mamilions ya watu wasiokua na hatia kwa sababu za chuki zake anazozielewa inakua ni sawa na mnafurahia
 
Back
Top Bottom