Makundi ya pro-Russia jukwaani na mitaani baada ya uvamizi huko Ukraine

Ila Kwa kumkumbusha TU,hii vita aliyeisababisha ni anayejiita NATO,napenda kuwaita mabeberu wa ulaya na marekani.Kisa wamekuwa wakiihujumu Urusi kupitia Ukraine na vikwazo vinavyolenga kuidhoofisha Urusi .Hivyo suluhu Ukraine ikubali kama ilikuwa ikitumika kulihujumu Urusi na ikubali kuwa neutral,au kujitenga na NATO.
 
Hakika MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Onyesha mahali Ukraine iliwahi kusema inataka kujiunga na NATO.
 
"Salamu kutoka Jesh la Urusi. Tunajua kila kitu"

Ni ujumbe Uliotumwa kwa mawasiliano ya Radio kwenda Kwenye commanding centre ya jesh la Ukraine iliyopo kusini (n.p. Novy Bug) kabla haijaripuliwa na makombora. https://t.co/ay30F7Xw9M
 
Mjini Kiev, Kumeanza kusambaa vipeperushi vyenye maandishi, "Zelensky ni msaliti wa Azov. Na atawasaliti na nyinyi pia."

Bila shaka Washirika wa Azov watamgeukia Zelensky muda si mrefu na ndyo utakuwa mwanzo wa mapinduzi makubwa nchini Ukraine. https://t.co/CLkhJgXlWy
 
Soma #42 jibu lipo hapo.
 
1/2 mwanajeshi wa Marekani amewashauri ma mluki wanaotaka kwenda kupigana vita na Urusi upande wa majeshi ya ukrain,kusitisha mpango huo mara moja kwasababu malengo yao yatakwenda kinyume na matarajio yao.
Ameongoza kuwa Jeshi la Urusi ni moja ya jeshi lenye nguvu saana duniani.
 
Nipe link
Shida ni hivi vyombo vyote vya mabeberu wameamua kuota nyeusi ni nyeupe na nyeupe. Ni nyeusi,hivyo siwezi kupa link za mabeberu wa ulaya na America ila nikushauri Kwa kuanzia angalau chanzo chako Cha taarifa kiwe angalau aljazeer japo nacho kinazongwa na mabeberu ili wasemea wanachotaka ukisikie🤔
 
Hiyo inaonyesha akili kisoda,siamini kama waukrain nao ni akili kisoda kama hiyo🤔
 
Yatakwambia Congo haijaisaidia Tanzania ila USA ameleta KY ili warafiane vizuri, wakati kila Weekend wanainjoy ngoma za ferre gola wakinywa bia zao bar! Wabongo wanafiki sana
Inasikitisha sana mkuu kuona mijitu inakomaa kutetea mataifa yaliyomwaga mapipa ya damu za watu wasio kuwa na hatia katika nchi zao kwa kutumia facts za kijinga kabisa sijui misaada ya ARVs, kondomu, matundu ya vyoo, shule, chanjo na n.k.

Hizo nguvu wanazo zitumia kuwatetea mabwana wao wa westerners wangezielekeza kwenye kulaani mauaji yanayoendelea huko Kongo, somalia, Ethiopia na n.k hata Mungu angefurahi.

Mwisho: Huwezi ukaona umhimu wa miguu kama bado unayo, ila siku ukiikosa ndo utaona umuhimu wake. Acha na wao waonje ladha ya kukosa miguu ili wajue mateso wanayopitia binadamu wenzao katika nchi zenye vita vilivyosababishwa au kuchochewa na wao.

Hata nukes ikibidi watwangane tu ili maumivu ya kupoteza maelfu ya wapendwa wao wayapate kama walivyo yapata watu wa Hiroshima na Nagasaki baada ya kupigwa nukes na USA.

"To every action there is an equal and opposite reaction" sir Newton
Acha mvua iendelee kuwanyeshea nawao.
 
Wewe hayo masharti ya Putin kumaliza vita uliyasikia au uliyaona wapi?
Nipe link za vyombo ambavyo sio hata vya mabeberu.
 
Hapa ungeandika kwa kubold na kwa herufi kubwa. Mwanzo mimi sikujua hili, ila mbeleni ndo nikajua kumbe wanaoshabikia Urusi kuna itikadi za udini ndani yake.
Sasa hapo ungetuliza akili vizuri ungewaza Tena ,kwani Russia ni taifa la kiislamu mbona limekichafua Sana Afghanistan wameua waislamu wengi na ujamaa wao....hoja yenu kwamba wanao ishambikia Russia ni waislamu ni kilema
 
Hii mbuzi ishakula majani sasa imeshiba inaanza kuona wenzake kama wajinga, kumbe yenyewe ndio bonge la mbulusungwa
 
mkuu mimi ni mkristo na naisaport urusi
 
Bora wangekuwa wajinga tu, ni kama vile mazombi.
Hii mbuzi ishakula majani sasa imeshiba inaanza kuona wenzake kama wajinga, kumbe yenyewe ndio bonge la mbulusungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…