Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Haya Mimi naweza kumsaidia kujustifyUvamizi wa Putin ni haramu na hauna justification yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Mimi naweza kumsaidia kujustifyUvamizi wa Putin ni haramu na hauna justification yoyote.
Ila Kwa kumkumbusha TU,hii vita aliyeisababisha ni anayejiita NATO,napenda kuwaita mabeberu wa ulaya na marekani.Kisa wamekuwa wakiihujumu Urusi kupitia Ukraine na vikwazo vinavyolenga kuidhoofisha Urusi .Hivyo suluhu Ukraine ikubali kama ilikuwa ikitumika kulihujumu Urusi na ikubali kuwa neutral,au kujitenga na NATO.Ungekuja na hitimisho lanini kifanywe dhidi ya RUSSIA ili kuumaliza huu mgogoro alouanzisha ungeeleweka
Mana VIKWAZO naona vimepiga U TURN vilipotokea
Naona jamaa bado wananunua mafuta kama awali tena kwa wingi na tena kwapesa ya baniani mbaya hapa wazi EU wanachangia kwazaidi ya 50% kwa PUT IN na KREMLIN kuendelea na OP yao walio ianza nabila yashaka yaenda vyema
Naona ngano bado inauzwa kama kawaida na tumeona UKRAINE ndio anateseka na NGANO yake hapa nisuala la muda tuu kabla ya EU na DUNIA haijalubaliana na masharti ya PUT IN na MOSCOW juu ya NGANO na VIKWAZO kama alivyotaka kwa NISHATI na RUBO
Hoja yako na 3 kuhusiana na NATO tunataka NATO waingilie sababu wamejipambanua kua wao ndio watetezi wa wanyonge kama walipofanya utetezi wao kwa raia wa LIBYA nawanachama wao walipofanya hayo AFGHANISTAN nawanachama wao walivyofanya hayo YUGOSLAVIA KUWAIT SYRIA nk kwanini huko walienda kusaidia ila wanaiacha UKRAINE inateketea!!?
Kiufupi umeandika maneno mengi bila ya hitimisho lakwamba kipi kifanyike dhidi ya RUSSIA ili aondoke UKRAINE mana kama vikwazo usitegemee kama RUSSIA ataacha kuichapa UKRAINE sababu ya vikwazo nandio maana hua tunawaambieni RUSSIA sio ZIMBABWE sababu kwavikwazo walivyomuekea ingekua RUSSIA kama ZIMBABWE ingekua ishasimamisha OP yake
Mwisho kabisa :-OP yaendelea vyema sana namalengo lazima yatafikiwa kama yalivyopangwa kama mnataka yasifikiwe museme RUSSIA ifanywe nini maana kwavikwazo musahau kama RUSSIA itaiacha UKRAINE ndio kwaanza wanazidi imegega kila leo ndio maana tunaitaka NATO ikaisaidie UKRAINE sababu tunahisi pengine ndio kidooogo wanaweza kumfikirisha RUSSIA kwaanacho kifanya lasivyo hizi thread zenu zakulalama hazitasaidia
NATO wakamsaidie UKRAINE acheni kuwatetea huku mkilalama lalama EU kupitia vikwazo tayar ishachemka nawewe na Pro wenzio wote mnalijua hili
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika MKUUIla Kwa kumkumbusha TU,hii vita aliyeisababisha ni anayejiita NATO,napenda kuwaita mabeberu wa ulaya na marekani.Kisa wamekuwa wakiihujumu Urusi kupitia Ukraine na vikwazo vinavyolenga kuidhoofisha Urusi .Hivyo suluhu Ukraine ikubali kama ilikuwa ikitumika kulihujumu Urusi na ikubali kuwa neutral,au kujitenga na NATO.
Ila Kwa kumkumbusha TU,hii vita aliyeisababisha ni anayejiita NATO,napenda kuwaita mabeberu wa ulaya na marekani.Kisa wamekuwa wakiihujumu Urusi kupitia Ukraine na vikwazo vinavyolenga kuidhoofisha Urusi .Hivyo suluhu Ukraine ikubali kama ilikuwa ikitumika kulihujumu Urusi na ikubali kuwa neutral,au kujitenga na NATO.
Fuatilia miongoni mwa masharti ya Urusi kusitisha vita kwenye mazungumzo ya amani.Onyesha mahali Ukraine iliwahi kusema inataka kujiunga na NATO.
Soma #42 jibu lipo hapo.Acha uzuz , Kama warusi wanapinga ww upo buza ndo unatetea eti unajua historia ya huu mgogoro , Ukraine imekuwa mwema sana kww Urusi kwa zaid ya miaka 20 ila Urusi haeshimu utawala wa ndani wa nchi majirani wake , hlf ww upo bonyokwa ndo unauona wema wa Urusi
Shida ni hivi vyombo vyote vya mabeberu wameamua kuota nyeusi ni nyeupe na nyeupe. Ni nyeusi,hivyo siwezi kupa link za mabeberu wa ulaya na America ila nikushauri Kwa kuanzia angalau chanzo chako Cha taarifa kiwe angalau aljazeer japo nacho kinazongwa na mabeberu ili wasemea wanachotaka ukisikie🤔Nipe link
Hiyo inaonyesha akili kisoda,siamini kama waukrain nao ni akili kisoda kama hiyo🤔Mjini Kiev, Kumeanza kusambaa vipeperushi vyenye maandishi, "Zelensky ni msaliti wa Azov. Na atawasaliti na nyinyi pia."
Bila shaka Washirika wa Azov watamgeukia Zelensky muda si mrefu na ndyo utakuwa mwanzo wa mapinduzi makubwa nchini Ukraine. https://t.co/CLkhJgXlWy
Inasikitisha sana mkuu kuona mijitu inakomaa kutetea mataifa yaliyomwaga mapipa ya damu za watu wasio kuwa na hatia katika nchi zao kwa kutumia facts za kijinga kabisa sijui misaada ya ARVs, kondomu, matundu ya vyoo, shule, chanjo na n.k.Yatakwambia Congo haijaisaidia Tanzania ila USA ameleta KY ili warafiane vizuri, wakati kila Weekend wanainjoy ngoma za ferre gola wakinywa bia zao bar! Wabongo wanafiki sana
Shida ni hivi vyombo vyote vya mabeberu wameamua kuota nyeusi ni nyeupe na nyeupe. Ni nyeusi,hivyo siwezi kupa link za mabeberu wa ulaya na America ila nikushauri Kwa kuanzia angalau chanzo chako Cha taarifa kiwe angalau aljazeer japo nacho kinazongwa na mabeberu ili wasemea wanachotaka ukisikie[emoji848]
Sasa hapo ungetuliza akili vizuri ungewaza Tena ,kwani Russia ni taifa la kiislamu mbona limekichafua Sana Afghanistan wameua waislamu wengi na ujamaa wao....hoja yenu kwamba wanao ishambikia Russia ni waislamu ni kilemaHapa ungeandika kwa kubold na kwa herufi kubwa. Mwanzo mimi sikujua hili, ila mbeleni ndo nikajua kumbe wanaoshabikia Urusi kuna itikadi za udini ndani yake.
Hii mbuzi ishakula majani sasa imeshiba inaanza kuona wenzake kama wajinga, kumbe yenyewe ndio bonge la mbulusungwaTangu uvamizi wa Russia nchi Ukraine uanze Pro-Putin/Russia naweza kuwagawanya katika makundi matano
1. Wanaozungumzia huu uvamazi wa Urusi kwa upande wa Historia ila bahati mbaya historia imewapitia kushoto au ni ile historia waliyoisikia vijiweni tu kwa watu ambao hawajakanyaga hata darasa moja la Historia. Hapo utasikia NATO ilikuwa na makubaliano na Russia isijitanue kuelekea Urusi ikayakiuka, au kuna makubaliano/mkataba wa Russia na Ukraine isijiunge NATO . Hawa wanajitahidi ila Historia waliyo nayo ni uongo na hawana ushahidi wowote wa kihistoria.
2. Wanaozungumzia huu mgogoro kwa nadharia njama "conspiracy theories". Hawa wataongolea biolabs, ushoga, Covid, monkeypox, NWO na ujinga mwingine mwingi. Hawa ni wa kupuuzwa tu.
3. Wanaozungumzia huu uvamizi kama ushabiki wa Simba na Yanga tu. Hawa utasikia wanasema Ukraine sio Zimbabwe, NATO amezidiwa kila kitu na Russia, NATO kama mwanaume aingie vitani kupigana, dunia haiwezi kuwa na mbabe mmoja tu, Chechens wamekiwasha. Hawa wengi wao nafikiri ni watoto wa 2000 na hawajui hata maana ya vita nini.
4. Wanaompenda Putin na kushangilia uvamizi wake kwa sababu eti hata US au NATO huwa anavamia nchi nyingine na kwasababu hiyo taifa lingine lenye nguvu linaweza kufanya hivyo pia. Hawa ukianza kuwachumbulia case moja moja hoja yao inayeyuka kama povu
5. Wanaoamini NATO hasa US wame stage huu mgogoro kwa maslahi yao binafsi hasa ya kuuza silaha au wengine wanasema kuimuza Russia. Hapa utawakuta baadhi ya wasomi.
mkuu mimi ni mkristo na naisaport urusi6. Wanaoshangilia hii vita kwa kuchukua upande wa urusi au ukraine kwa kigezo cha dini
Muislamu atamshangilia Mrusi kwasababu Marekani anayemsaport ukraine amekuwa na migogoro na nchi za kiislamu
Mkristo anaisaport Ukraine kwakua Marekani kuna implication ya imani ya kikristo
2/100mkuu mimi ni mkristo na naisaport urusi