Makundi ya Waislamu Waafrika wavamia na kuzuia sherehe za kusheherekea tamaduni za Kiafrika

Mkuu unaupiga mwingi.
 
Wislam unasema mkimaliza kusali tawanyikeni mkatafute pesa laki upande wapili ni tajili kuuona ufalme wa mbingu ni sawa na ngamia kuingia kwenye tundu la sindano kwahiyo utajili hauwahusu
 
Mwislam anaweza aweza kua na m10 wewe ukawa na m2 wewe mwenye m2 ukaonekana tajiri kwasababu huna elimu ya utajili ndo nyie mkiona mzungu kavaa nguo zimechanika mnasema huyu ni maskini badirikeni dunia iko kass xana
 

Bila shaka unaishi Vatican ..maana unavowachukia waislam cjui kama hata hapo mtaani utakua unaishi nao hivo hivo kwa chuki au lah.Pole xnaa kijana
 
Na hapa waanze kuvamia vigodoro
 
Bila shaka unaishi Vatican ..maana unavowachukia waislam cjui kama hata hapo mtaani utakua unaishi nao hivo hivo kwa chuki au lah.Pole xnaa kijana

Siwachukii waislamu, wengi ni Waafrika wenzangu, sema muarabu ndiye kawaroga na dini yake na kuwafanya wawe kama mazombi ya kuua waafrika wenzao, kawaachia haya maagizo

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Tafuta kazi mbona mauaji ya yule pastor wa kufunga mpaka kufa hujaleta😅😅

Unapata faidi gani kuwaandama waislamu na wala hawana time na wewe?
 
Waafrika ni wajinga sijawahi kuona, yameacha Mila zao, Mavazi Yao ya ngozi kufunika eneo la mbele tuu, wameacha vyakula vyao Sasa hivi wanaabudu Mila za wakoloni wa kiarabu. Aliyeleta hii dini Afrika ndiye aliyetusababishia matatizo. DP world
 
Kwani kuna aliekuzuia kutambika tambika vaa ngozi funika tako pengine acha wazi vua hizo nguo sio tamaduni yako
 
Tamaduni za kiislmu hazina mana wala nafasi kwenye tamaduni za kiafrika.
Siku ukitambua kua hao unaowapenda ndo wanakwambia ukizuia ushoga wankuekea vikwazo na ndo wanafanya majaribio ya siraha zao kwa binadamu utarudi kua muislam maana ndo dini pekee iliyobaki kukutetea hata yule muislam aliesema bendera ya mashoga isipepe kwenye jimbo lake kuna wajinga walichukua ila mwisho wa siku uislam unasimama kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…