Makundi ya Waislamu Waafrika wavamia na kuzuia sherehe za kusheherekea tamaduni za Kiafrika

Huu ndiyo ujinga wenyewe. Mambo ya watu wengine yanakuhusu nini mpaka mkapigane vita nao ?!. Upagani wao unakuzuiaJe wewe kwenda peponi ?!. Sherehe za watu wengine zinakuzuiaJe kufanya wewe ibada zako. Na hasa pale yapofanyika maeneo tofauti ?

Kwa hiyo tamaduni za kiarabu si upagani ?! Nani alizihalalisha zitumike kwa wote ? Ujinga huu
 
Ila hii dini ni tatizo,imekaa kisharishari tu,vikiwaga vingi kwenye jamii ninasumbua minority ila vikiwa vichache kazi yao kuu ni kuplay victims,dini ya hovyo sana hii.
Dini ni ya uislamu haki, wewe ndiye wa hovyo .
 
Bila shaka unaishi Vatican ..maana unavowachukia waislam cjui kama hata hapo mtaani utakua unaishi nao hivo hivo kwa chuki au lah.Pole xnaa kijana
Mshenga toka lini anauawa??
Yeye Ameñukuu Kitabu Kitukufu cha waislamu waumini, ambacho wañakiamini kwamba wakikifuata na kuyaishi mafundisho yake WATAFUZU!
Sasa kuwakumbusha ndio Anawachukia??
 
Si kweli,uislamu haufundishi hayo usemayo,bali kuna waovu waliojificha ndani ya uislamu hivyo nyie wagalatia mnashindwa kutofautisha baina ya uislamu na hayo makundi yenye itikadi kali ndani ya uislamu
Ingefaa waislamu wenyewe wayakane hayo makundi ya waovu yanayotumia jina la dini
 
 
Ingefaa waislamu wenyewe wayakane hayo makundi ya waovu yanayotumia jina la dini
Ufafanuzi umekuwa ukitolewa mara kwa mara, na viongozi wa kiimani ya dini ya kiislamu,labda hujabahatika kukutana nao tu
 
Wapumbavu kabisa hao, wanachojua ni kujipendekeza tu kwa Waarabu
 
multiculturalism is a mistake. any country should have complete majority belonging to a certain culture la sivyo matatizo yanaanza kukiwa na uwiano kidogo tu.Islam is a culture tofauti na dini nyingine.it expects a complete adherence to its norms on every aspect of a society. the perfect solution ingekuwa ni kila mtu apelekwe anapodhani kuna watu wanamfanana lakini realistically hichi hakiwezekani
 
Serikali ya Nigeria iliingilie hili mapema kabla hawajawalipua wenzao na wao kujilipua

Hao huwa hawana akili
 
Sasa wewe muumini wa humu utaupenda wislamView attachment 2679278
Hayo kwa sisi Wafuasi wa YESU YANAIMARISHA IMANI YETU KWAKE ZAMA HIZI!; SABABU ALISHA TUFUNDISHA KWAMBA HAYO NI MAGUGU NA TUYAACHE MPAKA SIKU YA MAVUNO NGANO GALANI NA MAGUGU NI KUYACHOMA!
[emoji116][emoji116]
Matthew 13:24-30
[24]Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake;

[25] lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.

[26]Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu.

[27]Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?

[28] Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?

[29]Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.

[30]. Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu.
 
Na ndo haiwezekani kurudi tena, ila kurudi kwenye uislamu inawezekana, na kila siku watu wanaslimu
Hizi story mnatoa wapi? au ndio Taqiya... sababu Al lah kawaruhusu kudanganya basi kila siku ndio neno lenu hilo...

Only mjinga pekee ndio anaweza kuingia uislam.
Sababu Uislam unapumbaza watu kuwa Mbinguni Jenna Wanaume watapewa wanawake 70 mabikira wawatie tu kila siku na kila wakiwatia zile bikra zinatoka na wakimaliza bikra zinajiunganisha... Only mjinga atapenda.. inamaana Mbinguni kwa Uislam ni jengo la Makahaba na uasherati tu..

Jenna Mbinguni kwa uislam kuna Marketi yaani huko unaenda hakuna cha kununua zimewekwa picha tu za wanawake na wanaume atakayefika huko sokoni mbinguni anatizama hizo picha na atakayopendezewa ayo basi anaingia ndani hiyo picha na kufanya chochote na huyo mtu wa pichani... hii inamaana LGBT ushoga na ulesbian ndio nyumbani kwake... Uislam ni ujinga sana.

Arabs walidanganywa na ujinga wao wakaingia wengi sana na alipokufa mtume wa sheitan Moh arabs wengi waliachana na upuuzi huu ndio zikaja vita za kuwarejesha kilazima convert or die..
 
Sifatul jannat!;
hululani ana sifa hizi!
-Macho kama kikombe!
-makalio uji uji ft.40!
-kiuno kama nyigu!
-dhakar haitasinyaa
-ukiingiza na kutoa bikra upya!
-.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…