Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

Mbona yeye haulizi unauliza wewe? Inakuuma kuliko ambaye ameambiwa ametapeli?

Acha upumbavu
Acha kiongozi atupe madini kama kweli umetapeliwa kwanini usimshtaki mods wampe lifeban,acha kuharibu nyuzi za watu kwa chuki zako binafsi.
NB: upumbavu nitaacha ukisema ulichotapeliwa huku ukileta ushahidi usioacha shaka,kama ni vinginevyo kaa kimya CONTROLA aendelee kutupa madini.
 
Laki nne ni pesa nyingi kiukweli ila haitoshi kua tajiri.

Mrudishie dada wa watu pesa zake.
 
Nimetembea na namba zilipokatika chini naona nyaraka na paragraphs ndefundefu tu nikapita hivi... cha ajabu mbele huku nakuta watu wanapongeza tu sijui wamesoma yote au mkumbo tu, anyway tuko pamoja

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa somo
 
Asante... nilikua mtaani kwa muda sana napiga mishe zangu naingiza hela natumia kifala tu... nw nimerudisha mpira kwa kipa(nimeajiriwa) ila yanashinda maisha haya...

Nawekeza huku kwenye kuajiriwa for one year nipate discpline kwanza ndo nirudi mtaani... kitaa bila discpline bila bila hutoboi yani
 
Mkuu kwa nini thread yako hukuiweka kwenye lile shindano llinaloendelea. Yaani umesema ukweli mtupu. Na kwa kupanua mjadala zaidi, asilimia 90 ya population ya Tanzania iko kwenye moja ya makundi haya, ndiyo maana biashara nyingi zinabuma.
 
Wee mwamba shikamoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…