Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

Mkuu kwa nini thread yako hukuiweka kwenye lile shindano llinaloendelea
Shindano gani hilo mkuu,sielewi hata...

Unajua JF nikiingia natumia muda mwingi PM

nikija huku kwenye thread n kujibu quote tu

natumia muda mchache sana kupita kwa thread

zingine zingine kusoma yanayoendelea ndio mana

sielewi hata kama kuna shindano linaendelea na lina taka nini...
 
day 1 atauza kikonyagi kidogo,mara day 2 atamaliza konyagi kubwa ataenda akipanda mdogo mdogo hadi atakua akiuza Konyagi chupa zima,mtaji unakua alianza na mizinga miwili,ataenda akiongeza hadi atapoona inatosha,anahamia kinywaji kingine,hvyo hvyo.day 1 atauza kikonyagi kidogo,mara day 2 atamaliza konyagi kubwa ataenda akipanda mdogo mdogo hadi atakua akiuza Konyagi chupa zima,mtaji unakua alianza na mizinga miwili,ataenda akiongeza hadi atapoona inatosha,anahamia kinywaji kingine,hvyo hvyo.

Hapa ndio mnapifeliaga nyie motevesheno spika.
 
 
Inategemea tu! Nikupe ushuhuda japo hunioni..mie ni mmojawapo ambaye nilikua hata sijapanga maisha yangu mbeleni yatakuaje sikujua habar za kujiajiri kabisa..nilikua najiombea nafasi za kujitolea tu..ikafika siku nikalazimishwa kwenda kufanya interview nikashangaa nimefauli ile interview na ndo ilikua ya kwanza maishani mwangu na nikapata kazi..unajua nini? Baada ya miaka minne ya kuajiriwa nikasema nimechoka na naondoka nikajiuzie juice za ukwaju nyumban mie siwez umaarufu bila hela..sasahiv nimeajiri..ilikuaje bila mipango ya muda mrefu? Tupo sisi wenye bahat na wapo wenye juhudi..maisha hayana fomula..kila mtu ana namna yake
 
Juice za ukwaju unatengenezaje naomba nifundishe mkuu
 
Juice za ukwaju unatengenezaje naomba nifundishe mkuu
[emoji3][emoji3] unanunua ukwaju halaf unaubandika jikoni na maji mengi ya kutosha unauacha uchemke hadi ulegee yaan zile mbegu zake zionekane unaipua halaf unakoroga koroga kuhakikisha ukwaju unalainika zaid baada ya hapo unachuja utenganishe mbegu na juice na unautia maji ili kuondoa uchachu kwa kiwango ambacho utaona hapa unanyweka halaf unaweka sukari unaweka kwenye chupa tayar kwa kuuza usisahau kuhakikisha unauweka kwenye frij kidogo upoe
 
Aliwahi kufanya utapeli huyu mkuu CONTROLA ??
Kuna binti alianzisha uzi.

Alianza kwa kumuomba ushauri wa kibiashara mshkaji.

Baadaye wakawa na uhusiano wakaamua kuchanga pesa ili waanzishe biashara.

Mchizi akamuambia mdada ana shida akopeshwe pesa akakopeshwa 400K baada ya kudaiwa akavunja uhusiano na majibu shit ya kumwaga.

Mwisho akamtishia binti kwamba atamfanyia kitu kibaya yeye ana roho mbaya.

So this is just a confused con artist at work.
 
E bhana
wee
 
Marhabaaa Marhabaaa Alhabiiiib.......
Kumbe tapeli wewe
 
Kwangu hii ndo post Bora tokea nijiunge humu
 
Ebhana mkuu huo Uzi sijawahi kuuona mkuu em Fanya kama unanitag chap ..

Mkuu CONTROLA hizi shutuma ni za kweli ..Yani unaanzisha mahusaiano na mamsi halafu unampiga asee!!? Kwa hiyo mbususu akupe na bado umtapeli sasa tunakuaminije boss na umekuwa ukitupa elimu jf na kukuona wewe kama kioo cha jamii kwa madini unayotupa.

Au nyie ndio wale majamaa wa global alliance nini ..wale wazee wa good morning millionaire hata kama ni usiku..

Sema hii itakuwa ni kashfa mbaya sana bro. Na Mimi sitokuamini tena hata kwenye hizi nyuzi zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…