Uchaguzi 2020 Makundi yakayowamaliza CCM ni haya

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Hii itasababisha maporomomoko ndani ya CCM kwa sasa ni wananchi wa kawaida ambao tayari wameshaonyesha na kunyanyua silaha zao kuiangusha CCM tarehe 28/10/2020. Hawa huitwa wanajeshi wa miguu, infantry. Hawa pekee wanaiangusha CCM na CCM kuanguka kwa kishindo kikuu.

Jeshi la Wanamaji hawa ni wapiga kura kutoka visiwani nchi ya Zanzibar na pia visiwa vya mwambao wa Tanganyika hawa wana kura mbili ya hasira dhidi ya mashehe wao na pili hawaitaki CCM hata kuiona wameichoka.

Jeshi la Anga hawa hutumia mabomu yale ya kunyunyizia kama mvua, carpet bombs. Hawa ni wapiga kura wasio na vyama wakichanganyika na wale wavaa sare za CCM wenye msimamo mkali ambao wanaikimbia CCM kwa makundi bila ya kujulikana, yaani wapo underground. Ni hatari sana hawa, ndio wanaoimaliza CCM kama mchwa waliokula fimbo ya Nabii Suleiman.

CCM mliokuwa hamjatafuta ticketi za kukimbia wekeni booking na mapema,lakini haina haja Lissu ameshasema halipizi kisasi jambo hilo peke yake linatosha kuona kuwa Tanzania chini ya Uongozi wa Lissu hanyukuliwi mtu.
 
Harufu ya ushindi kwa Lisu inanukia na harufu mbaya ya kushindwa kwa CCM imeanza kunuka.
 
Mbona unapapara Sana Mzee utadhan kuku anayetaka kutaga , mara uulizie picha , mara ratiba ya kampeni ya Jiwe , mara makundi ya CCM, subir tuwanyooshe vizur Oct 28 , na badae tumkamue mavi mgombea wenu
 
Tatizo Watanzania wengi wanabadili maamuzi wakishaingia kwenye kichumba cha kupiga kura tu tujiulize nguvu ya umati wa mwaka 2015 upo wapi
 
CCM haiwezi kuangushwa.

Magufuli atapigiwa kura na wengi.. anzeni kujitayarisha.. kumpigoa vigelegele.. hozo outing na watu kukimbia sio kitu.. ni kumuona tu kisa naniii..

Bila ubishi
Magufuli 2020💯
 
CCM haiwezi kuangushwa..
Magufuli atapigiwa kura na wengi.. anzeni kujitayarisha.. kumpigoa vigelegele.. hozo outing na watu kukimbia sio kitu.. ni kumuona tu kisa naniii..

Bila ubishi
Magufuli 2020[emoji817]
CCM inategemea kura za maruhani ambazo Mungu hayupo upande wake.Mungu yupo upande wa kura za haki na za ukweli.

#ccmchannel
 
Mbona unapapara Sana Mzee utadhan kuku anayetaka kutaga , mara uulizie picha , mara ratiba ya kampeni ya Jiwe , mara makundi ya CCM, subir tuwanyooshe vizur Oct 28 , na badae tumkamue mavi mgombea wenu

Nakwambia kaka hakuna kipigo kibaya watakacho kaa wasikisahau chadema kama cha tarehe 28 oct 2020. Mnapigwa na chama kinakufa, hapa tu tayari membe anakuja kuharibu umoja wenu, maana mbobezi ashasema yy ndiye mgombea aliyepitishwa na nec.

Yajayo yanafurahisha.
 
Mkuu tunza uzi wako huu tarehe 30 oktoba uje ufufue tena
 
Lissu asihangaike na kampeni inatosha kabisa ashughulike na kesi zake, swala la kumchagua siyo la hiari ni lazima sema hakuna tume ya kumtangaza
 
Mbona unapapara Sana Mzee utadhan kuku anayetaka kutaga , mara uulizie picha , mara ratiba ya kampeni ya Jiwe , mara makundi ya CCM, subir tuwanyooshe vizur Oct 28 , na badae tumkamue mavi mgombea wenu
Nyinyi kama mtamkamua mavi mtamuuwa ,ila sisi mgombea wenu tunambana korodani kuanzia sasa,si unamsikia lakinihaijulikani anazungumza lugha gani.
 
Hakuna lolote utaniambia
  • Mlisema hatopona na akipona atapoa. Sasa amepona na hajapoa.
  • Mlisema hatorudi, na akirudi atakamatwa. Amerudi na hajakqmatwa.
  • Mlisema hatogombea, na akigombea atakatwa jina. Yako wapi?
  • Mmezuia media zote kumtangaza ili asipate watu. Yako wapi?
  • Sasa mnasema hatoshinda, na akishinda hatotangazwa. Subirini muone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…