Hii itasababisha maporomomoko ndani ya CCM kwa sasa ni wananchi wa kawaida ambao tayari wameshaonyesha na kunyanyua silaha zao kuiangusha CCM tarehe 28/10/2020. Hawa huitwa wanajeshi wa miguu, infantry. Hawa pekee wanaiangusha CCM na CCM kuanguka kwa kishindo kikuu.
Jeshi la Wanamaji hawa ni wapiga kura kutoka visiwani nchi ya Zanzibar na pia visiwa vya mwambao wa Tanganyika hawa wana kura mbili ya hasira dhidi ya mashehe wao na pili hawaitaki CCM hata kuiona wameichoka.
Jeshi la Anga hawa hutumia mabomu yale ya kunyunyizia kama mvua, carpet bombs. Hawa ni wapiga kura wasio na vyama wakichanganyika na wale wavaa sare za CCM wenye msimamo mkali ambao wanaikimbia CCM kwa makundi bila ya kujulikana, yaani wapo underground. Ni hatari sana hawa, ndio wanaoimaliza CCM kama mchwa waliokula fimbo ya Nabii Suleiman.
CCM mliokuwa hamjatafuta ticketi za kukimbia wekeni booking na mapema,lakini haina haja Lissu ameshasema halipizi kisasi jambo hilo peke yake linatosha kuona kuwa Tanzania chini ya Uongozi wa Lissu hanyukuliwi mtu.