Makundi yaliopoteza ushawishi katika kwa sasa.

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
1. Wadada
Tangu jamii ilipoamua kufanya sex kama “causal thing” na wengine wakwenda mbali zaidi ou commercialize sex, hali imekua tofauti. Vijana sasa hawajua struggle za kutongoza na kumhangaikia mwanamke, mana wanapatikana kiurahisi. And once you get it easily, it loose value.

2. Kanisa katoliki
Achana na zile propaganda za master mind spies of Jesuit, kwa sasa kanisa katoliki is just a well established organization with large number of faithful followers. Nothing else.Hata hapa nchini, wameshapoteza battle yao hasa na government.

3. Wasomi
Kidogo uwe msomi na uko na kazi, kinyume na hapo, nobody cares umesoma wapi au umesoma nini, kinachomata, unaingiza nini.

4. USA
We are heading to multipolar world, na sasa technology ipo katika application zaidi, nothing new. Imagine wanasumbuka hadi na wanafunzi wa china mana wanaona wanarudisha ujuzi china.

5. Dini
Kadri siju zinavyozidi kwenda, people are questioning the reality of religion and hereafter life. Some remain their just for community tie, not much about God.

Baadh ambao still wana ushawishi
1. Wanaovaa bakabaka, bado watu wakiona uniform kwa 🇹🇿 wanashangaa

2. Handsome boys, ukipanda gari, abiria wote wanakushangaa kwa u handsome

Know your time and know the time.
 
Umeiacha Dar maana zamani ukifika dar unaonekana mjanja Sasa miji yenye kuvutia iko hadi ndani ndani huko na watu wanavaa phartpham na fubu
Sasa watu wanajali zaidi wapi hela inapatikana
 
Huko USA ndio kunafaa warembo kama nyie
 
1. Wadada
Tangu jamii ilipoamua kufanya sex kama “causal thing” na wengine wakwenda mbali zaidi ou commercialize sex, hali imekua tofauti. Vijana sasa hawajua struggle za kutongoza na kumhangaikia mwanamke, mana wanapatikana kiurahisi. And once you get it easily, it loose value.

2. Kanisa katoliki
Achana na zile propaganda za master mind spies of Jesuit, kwa sasa kanisa katoliki is just a well established organization with large number of faithful followers. Nothing else.Hata hapa nchini, wameshapoteza battle yao hasa na government.

3. Wasomi
Kidogo uwe msomi na uko na kazi, kinyume na hapo, nobody cares umesoma wapi au umesoma nini, kinachomata, unaingiza nini.

4. USA
We are heading to multipolar world, na sasa technology ipo katika application zaidi, nothing new. Imagine wanasumbuka hadi na wanafunzi wa china mana wanaona wanarudisha ujuzi china.

5. Dini
Kadri siju zinavyozidi kwenda, people are questioning the reality of religion and hereafter life. Some remain their just for community tie, not much about God.

Baadh ambao still wana ushawishi
1. Wanaovaa bakabaka, bado watu wakiona uniform kwa 🇹🇿 wanashangaa

2. Handsome boys, ukipanda gari, abiria wote wanakushangaa kwa u handsome

Know your time and know the time.
Zote (1-5) ni kuntu:BanHammer: , Nimeipenda zaidi namba 5.
 
Back
Top Bottom