BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,410
- 13,052
Mkuu inasikitisha lkn nimecheka😀Watu weusi wanakuwa bullied hadi ndani ya nchi zao wenyewe. Angalia hata mashuleni au mtaani mtu mwenye ngozi nyeusi anadhihakiwa na kubatizwa majina kama "giza"