The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Bila kupoteza muda,
Halmashauri ya Jiji la Tanga imeongoza kwa Kukusanya mapato kwa Asilimia 113% na kuyapiku majiji ya Dsm,Dodoma na Mwanza.
Mambo yanazidi kwenda kwa Kasi sana 👇
---
WAZIRI wa TAMISEMI Innocent Bashungwa ametoa taarifa ya mapato kwa mikoa ya Tanzania Bara katika mwaka wa fedha 2021/22 ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imeongoza baada ya kukusanya asilimia 247, ikufuatiwa na Mlele (185%) na Morogoro asilimia 158.
Bumbuli imekuwa wilaya ya mwisho kwa kukusanya asilimia 58 ya makisio ya mwaka, ikufuatiwa na Korogwe (67%) na Bunda asilimia 70.
Chanzo: Habari Leo