The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nilivyomuelewa mimi hapo ni kwamba, wamefikia na kupita malengo yaliyowekwa kulingana na idadi ya watu (wahusika), na ndio maana ikatolewa in terms of percentage. Kwa hiyo, sio suala la kiasi tu (amount), bali kiasi kwa idadi ya wahusika.Naomba kufahamu ulivyoielewa taarifa, ni kwamba Jiji la Tanga limeongoza kwa kukusanya pato kubwa zaidi ya Majiji mengine, au ni limeongoza kwa kufikia lengo lake la makusanyo, kwa kumaanisha inawezekana kuna Majiji hayajafikia hata malengo yao ya makusanyo na bado yakawa yamekusanya pato kubwa zaidi ya Tanga?
Unatengemea nini kama Mbunge wake yuko Busy kuzunguka Mawilayani kunadi mitungi ya Gas ya Taifa Gas ya Mpiga Deal Rostam Aziz!, Uwaziri umemfanya asahau kuwa yeye ni sehemu ya Madiwani wenye dhamana ya kusimamia CMT pale Halmashauri!!!Bumbuli imekuwa wilaya ya mwisho kwa kukusanya asilimia 58 ya makisio ya mwaka, ikufuatiwa na Korogwe (67%) na Bunda asilimia 70.
Kufikia lengo,Naomba kufahamu ulivyoielewa taarifa, ni kwamba Jiji la Tanga limeongoza kwa kukusanya pato kubwa zaidi ya Majiji mengine, au ni limeongoza kwa kufikia lengo lake la makusanyo, kwa kumaanisha inawezekana kuna Majiji hayajafikia hata malengo yao ya makusanyo na bado yakawa yamekusanya pato kubwa zaidi ya Tanga?
Bila kupoteza muda,
Halmashauri ya Jiji la Tanga imeongoza kwa Kukusanya mapato kwa Asilimia 113% na kuyapiku majiji ya Dsm,Dodoma na Mwanza.
Mambo yanazidi kwenda kwa Kasi sana [emoji116]
---
WAZIRI wa TAMISEMI Innocent Bashungwa ametoa taarifa ya mapato kwa mikoa ya Tanzania Bara katika mwaka wa fedha 2021/22 ambapo Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imeongoza baada ya kukusanya asilimia 247, ikufuatiwa na Mlele (185%) na Morogoro asilimia 158.
Bumbuli imekuwa wilaya ya mwisho kwa kukusanya asilimia 58 ya makisio ya mwaka, ikufuatiwa na Korogwe (67%) na Bunda asilimia 70.
Chanzo: Habari Leo
HONGERA KWA JIJI LA TANGABila kupoteza muda,
Halmashauri ya Jiji la Tanga imeongoza kwa Kukusanya mapato kwa Asilimia 113% na kuyapiku majiji ya Dsm,Dodoma na Mwanza.
Mambo yanazidi kwenda kwa Kasi sana π