Makusanyo ya Mapato Kanda ya Kaskazini Bilioni 1600 versus Bilioni 648 kanda ya Ziwa: Bado mnadai mna nguvu? Nguvu ni uchumi siyo idadi ya watu

Huwezi bishana na wachaga mkuu hata magu alijaribu akashindwa. Wakati wachaga wanasomesha watoto babu zenu nyie walikua wanacheza ngoma.
Mapato maskazini yanatoka KIA airport,Tanga Port ,Namanga Border,Horohoro Border na Ngorongo

Sasa hizo mambo hazina uhusiano na kusomesha Watoto.

Mwisho pesa zenyewe zinaingia mfuko wa Serikali hazibakii huko Kaskazini.
 
Juzi ulikua unamsifia samia na gambo kwamba wanafanya miradi ya maana
Leo unasema itapigwa chini akili za mtanzania hapana aisee
Kumsifia Samia na Gambo kujenga Stand na masoko ndio inazuia Arusha kupitwa na Mwanza? Mimi Nina akili kuliko ukoo wenu wote.

Ni hivi Mapato Arusha yanatoka Ngorongo, Namanga Border na Baadhi ya mahoteli ya kitalii.

Sasa Mwanza wanajenga uwanja mkubwa wa Kimataifa na jengo jipya la abiria.

Mwanza wako Mbioni kuanza uzalishaji kwenye mgodi mkubwa wa Dhahabu wa Nyanzaga

Mwanza wako Mbioni kuanza Ujenzi wa Hotels kwenye visiwa na Airport za Nyota 4 na pia Ile ya nssf Bado haijaanza ikianza italeta Mapato.

Sasa Kwa hizo investments tuu tayari watakuwa na nafasi za kuizidi Arusha.

Kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa Kwa pamoja Mkoa wa Mwanza na Mara tuu ndio Ina Mapato mengi tofauti na Kaskazini ambako Mikoa yote Ina vitu vinavyoingiza pesa nyingi Kwa pamoja.

Tanga-Bandari
Kilimanjaro -KIA airport
Arusha-Ngorongoro na Namanga
 
Maswala ya ukoo yametoka wapi mwenye akili ajisifii anasifiwa na watu
We ni mjinga tu na kamwe siwezi tukana ukoo wako ili nisiwe kwenye kundi lako la wajinga
 
Huna hoja .Swala la kupitwa Arusha haliepukiki
 
Ndio maana tunataka shughuli za utalii pia ziboreshwe kanda ya ziwa, haiwezelani mbuga ya serengeti asilimia kubwa iwe kanda ya ziwa, halafu ofisi zote za mamlaka ya utalii ziwe Arusha.

Tutajenga lami kuifikia mbuga ya serengeti kwa urahisi kutokea mwanza na mara, na pia uwanja wa ndege wa mwanza na musoma unaboreshwa.

Ziwa victoria lina visiwa tele, tunataka kutenga visiwa maalum kadhaa ili vijengwe mahoteli ya kifahari ya nyota zote.
Kiukweli kabisa, Tanzania kwa ujumla tuna potential kubwa mno ya natural resources ambazo kama tuna serikali ya watu wenye akili, Watanzania tusingekuwa hapa tulipo kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Mfano Kanda ya Ziwa yenye mikoa ya (Shinyanga, Geita, Simiyu, Kagera, Mara na Mwanza) ina potential kubwa ya utajiri wa madini aina zote, mbuga za wanyama na Ziwa Victoria).

Hivi pekee kama kungekuwa na sera na mipango mizuri yenye mlengo wa kizalendo, mapato ya utajiri toka kanda hii pekee yanaweza kutosheleza bajeti yote ya nchi ya takribani TZS 40+ trillion.

Lakini sera na mipango ya chama kinachotawala tangu uhuru (1961) - CCM zina walakini mkubwa na zaidi sana hazimtazami Mtanzania. Sera za CCM zote ziko pale kuwanufaisha viongozi zaidi walio madarakani, familia, ndugu na jamaa zao.

Mfano; ni jambo lisilowezekana kabisa kuingia kwenye akili za mtu timamu kuwaa kwa utajiri huu wote (madini aina zote kuanzia almasi, dhahabu na mengine mengi; Ziwa Victoria na mbuga za wanyama) ulioko Kanda ya Ziwa eti kwa mwaka uingize mapato yasiyofikia hata trillion Moja tu kwa ujumla wake..

This is absurd and it's absolutely not acceptable..!!

Hawa jamaa CCM kwa sbb ya sera na mipango yao kuwa ya hovyo, madini yote ya Kanda ya Ziwa walishayagawa kama kwa bure tu kwa makampuni ya kigeni toka Ulaya na Amerika ili mradi wao walishatia mfukoni cha kwao (hongo/rushwa).

Kwa hiyo hakuna shaka yoyote kuwa tatizo kubwa la nchi yetu hii nzuri na tajiri ni kukosa mambo mawili makubwa; kukosekana kwa UONGOZI BORA na SIASA SAFI..

Tanzania yetu si masikini. Tatizo ni CCM na serikali yao. Wanapaswa kupumzishwa ili watu wenye mawazo na akili mpya watakaokuja na mifumo mipya ya utawala sambamba na sera na mipango mipya ili waongoze nchi hii.!
 
Kama unazijua sera Bora ungekuwa unazitaja Ili mambo yaende badala ya kulalamika.

Mtoa mada ameweka habari ya uzushi na uchochezi ambayo Haina uthibitisho.

Pili Kanda ya Ziwa ndio namba 2 kuchangia Pato la Taifa so Kwa sehemu kubwa mtoa mada ni.uongo.

Mwisho kanda ya Ziwa Ina Dhahabu Kwa wingi labda kidogo na almasi na nickel ila sio kweli kusema eti Kuna aina zote za Madini.
 
Kwa maana hiyo watu wa kanda zingine tofauti na kaskazini hawastahili maendeleo nchi hii? Yaani umejawa na ubaguzi hadi kwenye kope za macho.
Huu muungano ndio kikwazo kwa wanao penda ukanda lkn jkn alishituka mapema
 
Kama unazijua sera Bora ungekuwa unazitaja Ili mambo yaende badala ya kulalamika.
Zilizopo sokoni na zilizoshindwa ni za CCM tokana na mfumo wa hovyo wa kikatiba uliozaa sheria mbovu.

Sera kuu na mbadala wa hizi za CCM zilizoshindwa ni ile yenye mwelekeo wa kujenga mfumo mpya wa utawala na kuufyekelea mbali huu unaopendwa na kutumiwa na CCM kututawala ambao umekwisha kushindwa kutuletea matokeo makubwa unaotokana na katiba mbovu inayolea Urais wa kifalme (imperial presidency) na kisha kuzaa uzembe, upendekeo, ufisadi, rushwa, ubinafsi na yanayofanana na hayo.

Tunataka watu wenye sera za kubadilisha mfumo wa utawala unaotokana na katiba ya hovyo ili tuje na katiba bora itakayorekebisha sheria zetu na kuzaliwa sera na mipango mpya. Mfumo mpya wa utawala utakaoleta uwajibikaji kwa viongozi wenye dhamana ya mamlaka na utawala, mfumo usiolea rushwa, upendeleo, ufisadi na uchafu mwingine ktk nchi.

Yeyote anaye embrace sera hii, huyo atakuwa anaielekeza nchi hii kwenye ukombozi wa ujinga uliotamalaki sasa chini ya utawala wa hovyo wa CCM unaozaa uduni na umaskini!!

Haiwezekani kanda hii yenye utajiri wa madini, Ziwa Victoria na mbuga za wanyama (Serengeti, Maswa, Burigi, Rubondo achilia mbali viwanda na vyanzo vingine vya kawaida vya mapato) ikusanye mapato yasiyozidi 700bn kwa mwaka!

Unahitaji proof gani kuwa uduni huu wa mapato kutoka eneo hili pekee ni matokeo ya sera mbaya zinazozaa mipango mibaya na ya hovyo ya nchi hii?

Tunaweza ku - prove ubovu na uhovyo wa sera za CCM kwa nchi hii kwa sbb ndizo zilizoko kazini. Hili tu linatosha. Kama huelewi, labda wewe ni mnufaika wa mfumo huu wa hovyo.
Mtoa mada ameweka habari ya uzushi na uchochezi ambayo Haina uthibitisho.
Za kwako za Ukweli ziko wapi ili u - prove uzushi wake?
Pili Kanda ya Ziwa ndio namba 2 kuchangia Pato la Taifa so Kwa sehemu kubwa mtoa mada ni.uongo.
Mwenzio kasema data hizi ni kwa mujibu wa BoT. Kama ni mwongo, wewe ulipaswa uende BoT uje na data za ukweli ili u - counter attack uongo wake

Wewe unaye - shout kelele "za mwongo huyu", ukweli wako uko wapi?
Mwisho kanda ya Ziwa Ina Dhahabu Kwa wingi labda kidogo na almasi na nickel ila sio kweli kusema eti Kuna aina zote za Madini.
Hili ni langu nimelisema Mimi.

Hata hivyo, tu - assume ni hivyo unavyoamini wewe. Je, madini hayo tu hayatoshi kuifanya Kanda hii pekee kukusanya mapato ya kuweza ku - service bajeti yote ya nchi ya TZS 40+ trillion?

Wewe unadhani kwanini mambo yako hivi licha ya utajiri wa rasrimali asili zote zilizopo ukanda huu?

Na unadhani, Kanda ya kaskazini yenye mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro utajiri wao unauzidi wa Kanda hii ya Ziwa??

Hebu tumia ufahamu wa akili za kawaida tu kufikiri vyema kisha uje na jibu..
 
Ndio maana tunataka shughuli za utalii pia ziboreshwe kanda ya ziwa, haiwezelani mbuga ya serengeti asilimia kubwa iwe kanda ya ziwa, halafu ofisi zote za mamlaka ya utalii ziwe Arusha.

Tutajenga lami kuifikia mbuga ya serengeti kwa urahisi kutokea mwanza na mara, na pia uwanja wa ndege wa mwanza na musoma unaboreshwa.

Ziwa victoria lina visiwa tele, tunataka kutenga visiwa maalum kadhaa ili vijengwe mahoteli ya kifahari ya nyota zote.
Hongera mkuu kujibu hoja kwa utulivu kabisa
 
Zilizopo sokoni na zilizoshindwa ni za CCM tokana na mfumo wa hovyo wa kikatiba uliozaa sheria mbovu.

Sera kuu na mbadala wa hizi za CCM zilizoshindwa ni ile yenye mwelekeo wa kujenga mfumo mpya wa utawala na kuufyekelea mbali huu unaopendwa na kutumiwa na CCM kututawala ambao umekwisha kushindwa kutuletea matokeo makubwa unaotokana na katiba mbovu inayolea Urais wa kifalme (imperial presidency) na kisha kuzaa uzembe, upendekeo, ufisadi, rushwa, ubinafsi na yanayofanana na hayo.

Tunataka watu wenye sera za kubadilisha mfumo wa utawala unaotokana na katiba ya hovyo ili tuje na katiba bora itakayorekebisha sheria zetu na kuzaliwa sera na mipango mpya. Mfumo mpya wa utawala utakaoleta uwajibikaji kwa viongozi wenye dhamana ya mamlaka na utawala, mfumo usiolea rushwa, upendeleo, ufisadi na uchafu mwingine ktk nchi.

Yeyote anaye embrace sera hii, huyo atakuwa anaielekeza nchi hii kwenye ukombozi wa ujinga uliotamalaki sasa chini ya utawala wa hovyo wa CCM unaozaa uduni na umaskini!!

Haiwezekani kanda hii yenye utajiri wa madini, Ziwa Victoria na mbuga za wanyama (Serengeti, Maswa, Burigi, Rubondo achilia mbali viwanda na vyanzo vingine vya kawaida vya mapato) ikusanye mapato yasiyozidi 700bn kwa mwaka!

Unahitaji proof gani kuwa uduni huu wa mapato kutoka eneo hili pekee ni matokeo ya sera mbaya zinazozaa mipango mibaya na ya hovyo ya nchi hii?

Tunaweza ku - prove ubovu na uhovyo wa sera za CCM kwa nchi hii kwa sbb ndizo zilizoko kazini. Hili tu linatosha. Kama huelewi, labda wewe ni mnufaika wa mfumo huu wa hovyo.

Za kwako za Ukweli ziko wapi ili u - prove uzushi wake?

Mwenzio kasema data hizi ni kwa mujibu wa BoT. Kama ni mwongo, wewe ulipaswa uende BoT uje na data za ukweli ili u - counter attack uongo wake

Wewe unaye - shout kelele "za mwongo huyu", ukweli wako uko wapi?

Hili ni langu nimelisema Mimi.

Hata hivyo, tu - assume ni hivyo unavyoamini wewe. Je, madini hayo tu hayatoshi kuifanya Kanda hii pekee kukusanya mapato ya kuweza ku - service bajeti yote ya nchi ya TZS 40+ trillion?

Wewe unadhani kwanini mambo yako hivi licha ya utajiri wa rasrimali asili zote zilizopo ukanda huu?

Na unadhani, Kanda ya kaskazini yenye mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro utajiri wao unauzidi wa Kanda hii ya Ziwa??

Hebu tumia ufahamu wa akili za kawaida tu kufikiri vyema kisha uje na jibu..
Sera Bora ni zipi ? Staki Hadithi na mashairi,weka hapa sera Bora tuzione.
 
Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar.

Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu kadhaa, kwanza uwingi wa watu, Dsm ndio TZ utamkuta hata mhadzabe. Ila kanda ya wenye sifa yenye mikoa mingi na watu wengi ina uchumi mdogo sana ikizidiwa na kanda ya kaskazini mara 3.

Kanda ya ziwa ina mikoa ya Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita, kagera na Mwanza wao wanaita makao makuu yao. Hii kanda wameizungukq ziwa Victoria ambayo ni ya pili kwa ukubwa duniani lakini watu wake hawana ubunifu, wako hovyo kiuchumi. Uwingi wa makamasi siyo ukubwa wa pua.

Nilishasemaga mara nyingi uwekezaji mkubwa Mwanza ni hasara, ni ujinga aliouanzisha Magu. SGR Mwanza ni hasara itarudi na mzigo gani. Serikali ijenge uwanja wa ndege mkubwa Arusha hata siyo Msalato, Arusha Airpot kwa siku zinaruka ndege zaidi ya 150, wataalam wa uchumi wanajua uwekeze wapi upate return kwa muda mfupi.

Tutenganishe siasa na uchumi. SGR ingeenda Arusha badala ya Mwanza, ndio ukweli hata km inauma. Mh. Rais ile barabara ya njia 4 ifike angalau KIA. KIA ni taswira ya nchi yetu.

Wajinga jinga wa siasa ni nyie. Hadi mbuga zetu mnataka mdanganye ziko kanda ya ziwa. Hivi utalii pekee ambao upo kaskazini unatuingizia kiasi gani? Kwanini utalii kwa makusudi hamuhesabu!. Tanzania kila kitu uongo uongo tu na watu mambu mbu mbu hata hawaoni pale wanapo danganya waziwazi. Kaangalie italii pekee unachangia asilimia ngapi ya uchumi na mapato. Vilevile jiulize asilimia ngapi ya utalii na watalii wanaokuja wanaenda wapi
 
Sera Bora ni zipi ? Staki Hadithi na mashairi,weka hapa sera Bora tuzione.
Wewe ni chawa mwenye akili nzito na pengine mbovu kabisa..

Sera bora ni kinyume (opposite) cha sera za hovyo za CCM.

Sera bora ni zile zenye kuhakikisha hakuna shida ya umeme wala mgawo..

Sera bora ni zenye kutuhakikishia wananchi huduma za kutosha na bora za kujamii e.g ELIMU, Anya, maji nk nk

Bado tu hujaelewa au unakosea kuuliza swali?

##Bila shaka unaona haya kuliweka swali lako kwa namna hii;

Kwamba, ni chama gani cenye sera bora ukiondoa CCM?

Sasa ulipaswa uache ukuda wako wa kuzunguka zunguka mbuyu badala ya kuuliza swali kwa ufasaha!!

Kama ndilo swali lako hili, basi jibu lako moja kwa moja ni CHADEMA na ACT WAZALENDO😁�
 
Ndio maana tunataka shughuli za utalii pia ziboreshwe kanda ya ziwa, haiwezelani mbuga ya serengeti asilimia kubwa iwe kanda ya ziwa, halafu ofisi zote za mamlaka ya utalii ziwe Arusha.

Tutajenga lami kuifikia mbuga ya serengeti kwa urahisi kutokea mwanza na mara, na pia uwanja wa ndege wa mwanza na musoma unaboreshwa.

Ziwa victoria lina visiwa tele, tunataka kutenga visiwa maalum kadhaa ili vijengwe mahoteli ya kifahari ya nyota zote.
Mbona chato ilitangazwa kitovu cha utalii kupitia burugi nasikia wanyama wote wamekufa
 
Back
Top Bottom