Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Kupanua ukusanyaji na vyanzo vya mapato tutegemee makundi haya kuathirika aidha ndani ya msingi wa sheria ya Kodi au nje ya sheria ya Kodi.
- Wakulima wajiandae kulipishwa Kodi bila kujali umevuna au umepata hasara
-Wafanyabiashara wakubwa jiandaeni kukamuliwa
Ili kufanikisha maelekezo haya ya Waziri wa fedha tegemeeni dola kuingia kazini kwa kasi na taaluma kukaa kando.
- Wakulima wajiandae kulipishwa Kodi bila kujali umevuna au umepata hasara
-Wafanyabiashara wakubwa jiandaeni kukamuliwa
- Wafanyabiashara wadogo jiandaeni kusajiliwa kulipa kodi hata Kama mtaji si wakiwango Cha kulipa kodi
- vitambulisho vya machinga kupewa nguvu nakulazimishwa kukinunua penda usipende
- bidhaa kupigwa Kodi juu
- Faini za mahakama kuongezeka, mahakama kuwa njia yakuwakamua Wafanyabiashara na matajiri pre-bagaining
Ili kufanikisha maelekezo haya ya Waziri wa fedha tegemeeni dola kuingia kazini kwa kasi na taaluma kukaa kando.