Makusanyo yaliyokusanywa na Mamlaka ya Mapato TRA kwa mwezi Julai katika kipindi cha miaka 6(2018/19 - 2024/25)

Makusanyo yaliyokusanywa na Mamlaka ya Mapato TRA kwa mwezi Julai katika kipindi cha miaka 6(2018/19 - 2024/25)

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mwenendo wa Ukusanyaji Kodi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kipindi cha miaka 7

2018/19: Tsh. Trilioni 1.20
2019/20: Tsh. Trilioni 1.26
2020/21: Tsh. Trilioni 1.29
2021/22: Tsh. Trilioni 1.54
2022/23: Tsh. Trilioni 1.76
2023/24: Tsh. Trilioni 1.94
2024/25: Tsh. Trilioni 2.34

IMG_20240810_154731_553.jpg

IMG_20240810_154731_561.jpg

IMG_20240810_154731_301.jpg
 
Ni vyema taarifa za robo ndio zikawa zinatolewa badala ya hii ya monthly Kwa sababu sidhani kama Inaweza kupa picha nzuri ya mwaka mzima
 
Kuna mengi nyuma ya hizi taarifa.
Je soft policy ya Mama Samia au msingi wa Mwamba Magufuli?

All in all strategy zao wote zimechangia matokeo hapo.
 
Back
Top Bottom