Tuna Ukuaji mdogo sana yaani wastani wa Bilioni 2 Kwa mwaka Nchi nzima tuu.Mwenendo wa Ukusanyaji Kodi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kipindi cha miaka 7
2018/19: Tsh. Trilioni 1.20
2019/20: Tsh. Trilioni 1.26
2020/21: Tsh. Trilioni 1.29
2021/22: Tsh. Trilioni 1.54
2022/23: Tsh. Trilioni 1.76
2023/24: Tsh. Trilioni 1.94
2024/25: Tsh. Trilioni 2.34
View attachment 3066156
View attachment 3066164
View attachment 3066161
Angalia vizuri trend ya 2018/19 Hadi 2020/21 harafu 2021/22 Hadi 2024/25 utaona tofauti ya sera.Kuna mengi nyuma ya hizi taarifa.
Je soft policy ya Mama Samia au msingi wa Mwamba Magufuli?
All in all strategy zao wote zimechangia matokeo hapo.
Tatizo ni kushuka sarafu ya Tanzania dhid ya USD na nasarafu nyengine kimataifaMwenendo wa Ukusanyaji Kodi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kipindi cha miaka 7
2018/19: Tsh. Trilioni 1.20
2019/20: Tsh. Trilioni 1.26
2020/21: Tsh. Trilioni 1.29
2021/22: Tsh. Trilioni 1.54
2022/23: Tsh. Trilioni 1.76
2023/24: Tsh. Trilioni 1.94
2024/25: Tsh. Trilioni 2.34
View attachment 3066156
View attachment 3066164
View attachment 3066161