ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
ninatatizo la makwapa yangu kuwa meusii sana, kama kuna mtu anajua dawa naomba anielekeze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyoa vinyweleo....ninatatizo la makwapa yangu kuwa meusii sana, kama kuna mtu anajua dawa naomba anielekeze.
Nyoa vinyweleo....
Osha vizuri kwa sabuni mpaka utakate....
I mean usafi muhimu.
jitahidi kupakaa unga baada ya kunyoa yatakua meupe
Kuwa na makwapa meusi inawezekana una fungal infection au pseudomona infection. Hawa wanapenda sehemu nyevu nyevu na yenye acidic ph. Dawa muafaka ni kutumia antiseptic inayotoa Oxygen kwa wingi. Kama Hydrogen peroxide au povidon Iodin. Hii utapaka kwenye pamba au gauze na unasuguwa kwenye kwapa iliyokuwa nyeusi. Hii itasaidia pia kunuka kwa kwapa.