Malaika Kenya ana wake 26!

Malaika Kenya ana wake 26!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Afrika Mashariki nako hakuishi vituko.Kuna jamaa nimemuona yupo Kenya anajiita Malaika ameoa wanawake 26, anasema ataongeza wengine! Ana madevu mengi kama Osama.

Anasema ameshatunga Biblia miaka miaka46 iliyopita bado kuchapisha tu.
 
Duh ingekuwa wa dini yangu hapa leo pasingetosha
 
Atajua mwenyewe na hao wake zake. Kama ana uwezo na nguvu za kuwahudumia, sisi inatuhusu nini.
Kuna wanaume wameshindwa kuhudumia hata mke mmoja. Lakini wanamuonea kijicho huyo kidume.
 
Atajua mwenyewe na hao wake zake. Kama ana uwezo na nguvu za kuwahudumia, sisi inatuhusu nini.
Kuna wanaume wameshindwa kuhudumia hata mke mmoja. Lakini wanamuonea kijicho huyo kidume.
Uncle vipi hilo la kujiita malaika.
 
Back
Top Bottom