Keap ya head up ni bonge la ngoma ni verse moja(ya kwanza) imetosha kuwabadilisha watu wengi na kutamani kumjua zaidi tupac tofauti na walivyokuwa wakimchukulia.Kwa wale wazee wa kapicha mnaotaka kumwona marehemu dogo Joshua
Nakujibu namba 3..Mimi Nina mambo 3 yaan:-
1. Story Kama hii, unaandika mwnyew kwa urefu huo au unaichomoa sehemu na kuibandika kutoka ilipoandikwa
2. Tanzania tunayo kituo/sehemu ya kutimiza ndoto za watu
3. Mara nyingi ata mtu aandike thread nzuri gani LIKES nakutaga 5 < kushuka chini afu mm ndo nawekaga ya 6 najiuliza WHY...
NB: Ilibaki punje nimwage chozi, tanx kudo900
Lkn hapo angekuwa ni Msanii wa Bongo movie au Bongo flavour ndyo anhtajika kufanya hivyo asingeweza...hapo ndpo unapoona kuwa kuna tofauti kati ya wasanii wa Ulaya na Marekani ambao pia husimamia miiko tofauti na hawa wa Tanzania ambao wanafanya umalaya kipitia mgongo wa sanaa!Nimesoma word to word,line to line...nilichojifunza ni kuwa "jamii zilizostaarabika zinajali sana utu wa mtu ikiwa ni pamoja na hisia zake"