Malaika kwenye kiwiliwili cha binadamu

Malaika kwenye kiwiliwili cha binadamu

Kwa wale wazee wa kapicha mnaotaka kumwona marehemu dogo Joshua

8406210514_6925f0fe3e.jpg
Keap ya head up ni bonge la ngoma ni verse moja(ya kwanza) imetosha kuwabadilisha watu wengi na kutamani kumjua zaidi tupac tofauti na walivyokuwa wakimchukulia.
 
Mimi Nina mambo 3 yaan:-
1. Story Kama hii, unaandika mwnyew kwa urefu huo au unaichomoa sehemu na kuibandika kutoka ilipoandikwa
2. Tanzania tunayo kituo/sehemu ya kutimiza ndoto za watu
3. Mara nyingi ata mtu aandike thread nzuri gani LIKES nakutaga 5 < kushuka chini afu mm ndo nawekaga ya 6 najiuliza WHY...

NB: Ilibaki punje nimwage chozi, tanx kudo900
Nakujibu namba 3..

Kama unatumia JF App yenyewe mwisho inaonesha likes 5 na wewe uki like unaonekana wa 6 hata kama kuna likes 100, ukitaka kujua idadi halisi ya likes tumia browser..

Kwa mfano(angalia picha hapo chini) story hii ina likes 35 mpaka sasa,ukiangalia kupitia browser..

Lakini kwakutumia app inaonesha likes 5 tu..

Hivyo ukiwa humu kwenye app ukiona post ina likes 1,2,3,4 ujue ni kweli, lakini ukiona 5 ujue ni aidha 5 kweli au zaidi ya hizo..

Mods wabadilishe hiki kitu kinakera kwakweli .
Screenshot_20180513-092420_1526192748769.jpg
 
Nimesoma word to word,line to line...nilichojifunza ni kuwa "jamii zilizostaarabika zinajali sana utu wa mtu ikiwa ni pamoja na hisia zake"
Lkn hapo angekuwa ni Msanii wa Bongo movie au Bongo flavour ndyo anhtajika kufanya hivyo asingeweza...hapo ndpo unapoona kuwa kuna tofauti kati ya wasanii wa Ulaya na Marekani ambao pia husimamia miiko tofauti na hawa wa Tanzania ambao wanafanya umalaya kipitia mgongo wa sanaa!
 
Umenipa funzo shukrani pia kwa kuniliza machozi. Siku nyingi sijalia hadi leo
 
Sijawahi kusoma nyuzi ndefu nikamaliza lakini hii nimejikuta nimeimaliza, hadi machozi.
 
Back
Top Bottom