Malaika Mihambo: Mtanzania kwa asili, anayeiwakilisha Ujeruman Rio2016 Olympic

Malaika Mihambo: Mtanzania kwa asili, anayeiwakilisha Ujeruman Rio2016 Olympic

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
Anaitwa Malaika Mihambo,mwanamichezo wa Olympic Rio2016 anayeiwakilisha Ujrumani ktk mchezo wa "Long jump".Baba yake ni Mtanzania,Msukuma aliyekulia na kuzaliwa Znz ambapo wazazi wake walienda miaka mingi wakitokea kanda ya ziwa.

Mihambo alioa mwanamke wa Kijerumani na kumpata Malaika.Katika mashindano haya ya Olympic,Mihambo anapeperusha bendera ya Ujerumani.

Najuwa wajuwa,lkn nataka ujuwe na wengine wajuwe!!!
 
Ameibuka na medali ya aluminium.
 
Huyo ni Mjerumani mweusi.

Sasa akiwa ni mtanzania wa asili anaipa sifa ipi Tanzania?
 
Nilisikia mtangazaji alimuelezea Malaika Mihambo tatizo sentensi aliyotamka kuwa mama yake malaika ni mjerumani ilisikika vizuri ila ile ya baba ni mtanzania aliitafuna tafuna haikusikika vizuri nikamuona mtangazaji ni mzushi
 
Niko nafanya mpango wa kuhamia, marekani ili kugombea urais kule, manake huku mimi japo sio mtabiri, lakini nishajua mapema atakaeshinda urais uchaguzi ujao.

Naona USA patanifaa kutimiza ndoto yangu ya kua Rais[emoji123] .

Naweka onyo, Nikipata nisisikie MTU anasema eti Mimi ni mtanzania.
Taua MTU kwa gun [emoji35] [emoji379] .
Daadeki.

Mkileta za kuleta natuma drone kuja kudondosha nuclear ili kuwafuta kwenye ramani ya dunia
 
Watu wakitaka uraia pacha mnawakatalia halafu wakijiangaikia na maisha yao ndo mnakuja ohh ana asili ya Tanzania!! Ooh mtanzania!! Huyo ni mjerumani period!
 
Mwanangu Mamaake Mjerumani mimi babaake Mtanzania naelewa sana umuhimu wa Uraia Pacha. Sheria ya uhamiaji inanyanyapaa sana.
 
Back
Top Bottom