GE2025 Malalamiko haya yasipo sikilizwa tegemeeni CCM Mbeya kuendelea Kuwa Ngome ya Upinzani Mpaka Kiama

GE2025 Malalamiko haya yasipo sikilizwa tegemeeni CCM Mbeya kuendelea Kuwa Ngome ya Upinzani Mpaka Kiama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

amirmojaElimu

Member
Joined
Nov 23, 2024
Posts
9
Reaction score
6
Huu Utaratibu wa Viongozi kupewa dhamana na Kukiuka dhamana waliyopewa Umeanza kuwa ni Utaratibu wa kawaida sana.

Leo hii hakuna asiye fahamu Uchaguzi wa VITI MAALUMU MBEYA umeharibiwa na Wapuudhi waliopewa dhamana Ndani ya UWT MBEYA lakini cha ajabu Tuna kaliana kimyaa huku Mpasuko ukiendelea Ndani ya Jumuia.

Leo jiulize huyu IKUPA MWAIFWANI ni nani, SUMA FYANDOMO ni nani ifike Mahali waharibu Uchaguzi na watu wakae kimya kama maji mtungini.

Naomba nikurejeshe kwenye hadidu za rejea,

UWT Mbeya kwa sasa imekuwa na wanachama wa mikoani.

Yaani wanachama wanao onekana kwenye matukio ya kiuchaguzi tu.

Sijui utumikiaji wa wanawake wa mkoa wa mbeya unahitaji mjumbe kutoka dar

Tena anakuja wakati wa uchaguzi tu.

Hawa mamluki ni wafaida gani kwetu.??

Namba 3 IKUPA MWAIFWANI hakufaulu mchujo wa Ngazi ya Mkoa kutokana na ugeni wake kwenye Chama na Jumuiya ya UWT lakini Jina lake halikupendekezwa kwenda ngazi ya Taifa lkn KATIBU UWT MKOA Bi AMINA MWIRU alichomeka jina hilo kinyume na mapendekezo ya Kamati Tekelezaji ya UWT Mkoa.

Jina likaenda Taifa na likarudi sababu ya Rushwa aliyotoa IKUPA MWAIFWANI Kwa Katibu AMINA MWIRU ambaye amesimamishwa Kazi na TAKUKURU inamchunguza


Jina namba 3 limepiganiwa sana tangu siku ya Vikao vya Mkoa mpaka Jina linarudi na halikuwepo kwenye mapendekezo.
Hajulikani kwenye Chama
Hajulikani mbeya
Hajulikani kwenye UWT
Alifikia Usungilo Hotel tarehe 08-7-2025 usaili ngazi ya Mkoa na siku zote akitokea hotelini hapo.
Hana mchango wowote kwenye UWT wala Chama lakini mimi hakuna asiyejua hili.

Je nini kipo Nyuma ya Pazia???

Ni Kwa Faida ya Nani???


Yaani Uchaguzi Kila Mahala ni lawama kwetu.
 

Attachments

  • IMG-20250808-WA0287.jpg
    IMG-20250808-WA0287.jpg
    122.1 KB · Views: 30
  • IMG-20250808-WA0288_1.jpg
    IMG-20250808-WA0288_1.jpg
    408.2 KB · Views: 23
Mnarudi kule kule kwenye No reforms no election
 
Back
Top Bottom