Nimeona hii tweet nikashangaa sana kama haya yanawezekana kwa zaidi ya mwaka, angalia video!.
Moshi ni mchana kutwa usiku kucha kuna muda nasikia kizunguzungu naanguka'. Malalamiko juu ya kiwanda cha Guoyang Biotech kilichopo Ilala 'Nakohoa nakohoa imekuwa kazi yangu kukohoa'