Malalamiko juu ya show za Diamond abroad

sabasita

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
1,501
Reaction score
393
HAKUNA UBISHI KWAMBA BWAN MDOGO DIAMOND SASA HIVI ANKULA SHAVU LA UHAKIKA , LAKINI KUMEKUWA NA MALALAMIKO JUU YA SHOW ZAKE NDANI NA NJE..KWAMBA ANAGEUKA MCHEZA SHOO NA SAUTI YAKE YA LIVE NI MBAYA


  • My ears still hurt from last night's Diamonds concert. Worst sound system that made the event boring. That's the most money have paid for a concert to date. $50. I felt like it was not worth more than $5 for the effort. So someone some where owes me $45. Events started late, took about 30 minutes for the promoters to first pay this guys before they went on stage and the worst thing about it is they were doing it on stage, talk about bad credit. Then when the concert started, there was about 70 people on stage and not enough space for the performers.




    • James M Mutua mundu wakwa regrets comes after. dont worry you helped someone somewhere...
      May 25 at 11:36pm


    • Lucille Kalunde Wow.. so we missed nothing! Love his music though. Will settle for Youtube.
      May 26 at 12:53am


    • Kevin Kev The dude can perform tho..what the heck was all those people on stage for?
      May 26 at 1:59am


    • Moshe Kiamsoo Guess u had a very rough week ....All the best this week ...
      May 26 at 2:22am


      msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa wiki kadhaa sasa amekuwa nchini Uingereza akipiga show nchini humo , usiku wa jana jijini London katika show yake ,mchezaji wa kikosi cha pili cha Chelsea Adam Nditi ambaye ni mzaliwa wa Tanzania Visiwani alihudhulia . Kwa mujibu wa tweets za Adam Nditi amesema hakupenda hata kidogo kitendo alichofanya Diamond katika show yake kwa kufanya show mbovu ambayo ilichelewa kuanza baada ya msanii kuingia ukumbini asubuhi badala muda halisi uliopangwa.


 
Hizi maneno mbofumbofu mbona zimekuja wakati huu?? Hawa ndo walewale sizitaki mbichi hizi!! All the best Diamond plutinum!
 
Aaaaaa wamuwacher mbona hata live anaimba freshiii
 
na kuchoka pia kunachangia..!! we kila baada ya cku 2,3 anakamua tuu..lazima achoke nae.
 
standard za ughaibuni na huku kwetu tofauti sana, binafsi sishangai kusikia feedback hizo
 
Tutasikia mengi

kama mko karibu naye jitahidini kumshauri kwamba kwenye live show asikazanie kucheza tu na sauti ikatoka kama ya chura.....hata chris brown ni dancer mzuri lakini hajichoshi kucheza sana halafu akianza kuimba aheme kama anashindana 100 meters race
 
Kiukweli huwa naona live show zake si nzuri kabisa maana mda mwingi anautumia kucheza halafu anasahau kuimba
 
Kuna watu wanajaribu kuharibu image ya huyu dogo............anajitahidi kuupa muziki thamani walau Kibongobongo..........swala la sauti nadhani kweli ni tatizo kwa wasanii wetu wengi......wanamezwa sana na kukata mauno hadi umakini wa ubora wa sauti unapotea..........sometimes watu wanataka kusikia mpangilio wa sauti na meseji kupenya vizuri na kucheza sehemu kubwa unawaachia dancers na msanii anakuwa anacheza mara chache ili aweze ku control vizuri vocal.......lakini siku hizi unaweza kufikiri wote ni wacheza shoo na hakuna msanii maana akili yote ipo kwenye mauno tu...........
 
kama mko karibu naye jitahidini kumshauri kwamba kwenye live show asikazanie kucheza tu na sauti ikatoka kama ya chura.....hata chris brown ni dancer mzuri lakini hajichoshi kucheza sana halafu akianza kuimba aheme kama anashindana 100 meters race

Nakubaliana nawe kabisa...Bwana mdogo ni mzuri na anajitahidi kwenye kazi zake, ila lazima afanye kazi ya ziada kuweza ku-balance uimbaji na uchezaji. Ana-concentrate zaidi na uchezaji ambao unaishia kummalizia pumzi ya kuimba. Nakumbuka kwenye show ya Big Brother aliyoshiriki, kwa maoni yangu hakuweza kuimba vizuri na niliishia kusikia akipumua kwenye mic...

Na hili ni somo kwa waimbaji wetu wote kuwa lazima wajifunze pia kuimba 'live' music na sio kutegemea playback.
 
Live sio mchezo mama wee endelea kumskiliza kwenye Cds tu ila live huwa wanazimia

ndio maana huwa sijutii thamani ya pesa yangu nikitoa kuingia ngwasuma, ni sebene nonstop mavocal ya ukweli na mauno ya uhakika.

nadhani diamond anahitaji kukaa karibu na banana zoro atanufaika na vingi sana.
 
ndio maana huwa sijutii thamani ya pesa yangu nikitoa kuingia ngwasuma, ni sebene nonstop mavocal ya ukweli na mauno ya uhakika.

nadhani diamond anahitaji kukaa karibu na banana zoro atanufaika na vingi sana.

Live Show sio mchezo majuzi Ommy dimpoz aliingia na mbwembwe stejin akabaki kupumua kama anachinjwa na kisu Butu" waendelee kutudanganya tu na Playback zao
 
mimi sioni ubaya akikoselewa ni vizuri akayabeba mapungufu yake ayafanyie kazi na siyo kubishana nayo hiyo itamshusha chini mara 1 ambaye kazi zake hazikosolewi ni mwenyezi mungu pekee.
 
Live Show sio mchezo majuzi Ommy dimpoz aliingia na mbwembwe stejin akabaki kupumua kama anachinjwa na kisu Butu" waendelee kutudanganya tu na Playback zao
huyu si ana nyimbo tatu tu? anaweza kufanya live show peke yake?
 
huyo Adam nditi siyo mchezaji wa chelsea tena, kashatemwa! .......... embu edit hapo plz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…