ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Huyu nditi kila siku yeye ni kumponda diamond tuu!! Au anatafuta kick huyu?? Huyu bwa mdogo niaje ajee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilishaona live show ya ali kiba, barnabas, ditto au amin? acha masihara wako watu wenye sauti zao bwanaKuna watu wanajaribu kuharibu image ya huyu dogo............anajitahidi kuupa muziki thamani walau Kibongobongo..........swala la sauti nadhani kweli ni tatizo kwa wasanii wetu wengi......wanamezwa sana na kukata mauno hadi umakini wa ubora wa sauti unapotea..........sometimes watu wanataka kusikia mpangilio wa sauti na meseji kupenya vizuri na kucheza sehemu kubwa unawaachia dancers na msanii anakuwa anacheza mara chache ili aweze ku control vizuri vocal.......lakini siku hizi unaweza kufikiri wote ni wacheza shoo na hakuna msanii maana akili yote ipo kwenye mauno tu...........
ndio maana huwa sijutii thamani ya pesa yangu nikitoa kuingia ngwasuma, ni sebene nonstop mavocal ya ukweli na mauno ya uhakika.
nadhani diamond anahitaji kukaa karibu na banana zoro atanufaika na vingi sana.
huyu si ana nyimbo tatu tu? anaweza kufanya live show peke yake?
mimi sioni ubaya akikoselewa ni vizuri akayabeba mapungufu yake ayafanyie kazi na siyo kubishana nayo hiyo itamshusha chini mara 1 ambaye kazi zake hazikosolewi ni mwenyezi mungu pekee.
We ni mpambanaji wa kweli, na unayajua maisha yanavyotaka big up.
Ana nyimbo 5 tu lakini zote ni za uhakika hakuna hata moja alowahi kuharibu.