Chief_mataka
Member
- Jan 27, 2022
- 99
- 104
Mkuu hivi umesoma kweli alichoandika mtoa uzi?Si mkate online. Yaani maisha walivyosimplify kweli unaenda kukata tiketi ofisini?
Soma kwanza kabla uharishe hapa mkuuSi mkate online. Yaani maisha walivyosimplify kweli unaenda kukata tiketi ofisini?
😂😂😂Soma kwanza kabla uharishe hapa mkuu
Anasema online kunaonesha mabasi yamejaa. Kama uhuni uliokuwa ukifanywa mwanzo SGR, mtu ananunua tiketi nyingi halafu anaziuza.Si mkate online. Yaani maisha walivyosimplify kweli unaenda kukata tiketi ofisini?
Dogo unat**mbwa? YBWYBSoma kwanza kabla uharishe hapa mkuu
Kazi ya Latra hiiTarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote yalikuwa yamejaa kwa muda ambao nilipanga kusafiri. Niliamua kwenda Stendi ya Mbagala Rangi Tatu nikitumaini kupata nafasi kwenye basi au gari jingine.
Nilipofika stendi, nilipokelewa na mawakala wa kampuni ya mabasi ya Tashriff. Walinieleza kuwa kuna basi lililokuwa likitokea Tanga na kwamba bado lilikuwa na nafasi. Jambo la kushangaza ni kwamba basi hilo lilikuwa miongoni mwa mabasi niliyoyaona mtandaoni likionyesha kuwa limejaa.
Wakala alinipatia tiketi ya mashine yenye jina la abiria tayari pamoja na nauli ya kwenda Lindi. Hata hivyo, aliniambia niongeze Shilingi 10,000 kwa sababu, kwa maelezo yake, "magari yanasumbua sana." Nilikataa kulipa fedha hiyo na baada ya kusisitiza, hatimaye nililipishwa kiasi kilichoandikwa kwenye tiketi.
Nilipokuwa katika ofisi yao ya mizigo, iliyopo karibu na vyoo vya kulipia ndani ya stendi, nilisikia abiria wengine wakilalamika kuhusu kuuziwa tiketi kwa bei kubwa tofauti na bei halisi. Pia nilimwona mmoja wa mawakala akiwa na tiketi nyingi za mashine ndani ya begi lake.
Hali hii inanifanya kujiuliza: Je, kuna utaratibu ambao mawakala hununua au kuchukua tiketi nyingi mapema na kisha kuziuza kwa abiria kwa bei wanazopanga wenyewe?
Ikiwa ni kweli, hii ni changamoto inayopaswa kuchunguzwa kwa sababu inaweza kuwa inawaumiza abiria wanaotegemea huduma hizi, hasa wakati wa msongamano wa wasafiri.
Naiomba kampuni ya Tashriff, pamoja na mamlaka husika, kulifuatilia suala hili na kuchunguza mwenendo wa mawakala wake katika Stendi ya Mbagala Rangi Tatu. Abiria wanapaswa kulipia nauli halali iliyoainishwa, bila kulazimishwa kutoa fedha za ziada zisizoeleweka.
Nina nakala ya tiketi yangu kama ushahidi wa tukio hili na niko tayari kuiwasilisha kwa mamlaka husika kwa ajili ya uchunguzi.
Hujasoma uzi.Si mkate online. Yaani maisha walivyosimplify kweli unaenda kukata tiketi ofisini?
Hizo za Sgr zilikuwa zinauzwa wapi ?Anasema online kunaonesha mabasi yamejaa. Kama uhuni uliokuwa ukifanywa mwanzo SGR, mtu ananunua tiketi nyingi halafu anaziuza.
Hawa siyo madalali labda hujui maana ya dalali. Hawa ni walanguzi.Acha ushamba madalali kila sehemu wapo na sio kosa kisheria wew umeshindwa kununua tiket online unaenda ofisin alafu aunalalamika daah kweli wew matonya
Hii ni kazi ya wa wamiliki wa magari. Kwangu mimi nadhani huu mchezo unachezwa kati ya wakata tiketi na hao ''mawakala''. Wana-create hali ya uongo ya basi kujaa ili wauze tiketi kwa kuweka ''cha juu''. Na baadae wanagawana kati ya dalali na wale wafanyakazi wa basi. Au pengine inawezekana hata wamiliki wa mabasi wako kwenye huu mchezo? Tatizo kubwa ni kuwa wanasiasa-viongozi wengi wameingia kwenye biashara hivyo kunakuwa na mgongano wa maslahi. Mimi siku zote huwa nasema akiingia mfanya biashara mwenye mtaji mkubwa na anayejua kuendesha biashara ya kusafirisha abiria kwa ''kujali wateja'' ataua hizo kampuni nyingine zote.Kazi ya Latra hii
Vyema hii imepaziwa sautiHii ni kazi ya wa wamiliki wa magari. Kwangu mimi nadhani huu mchezo unachezwa kati ya wakata tiketi na hao ''mawakala''. Wana-create hali ya uongo ya basi kujaa ili wauze tiketi kwa kuweka ''cha juu''. Na baadae wanagawana kati ya dalali na wale wafanyakazi wa basi. Au pengine inawezekana hata wamiliki wa mabasi wako kwenye huu mchezo? Tatizo kubwa ni kuwa wanasiasa-viongozi wengi wameingia kwenye biashara hivyo kunakuwa na mgongano wa maslahi. Mimi siku zote huwa nasema akiingia mfanya biashara mwenye mtaji mkubwa na anayejua kuendesha biashara ya kusafirisha abiria kwa ''kujali wateja'' ataua hizo kampuni nyingine zote.
Hata huko mtandaoni kuna tozo za mtandao husika na mamlaka za sirikaliAcha ushamba madalali kila sehemu wapo na sio kosa kisheria wew umeshindwa kununua tiket online unaenda ofisin alafu aunalalamika daah kweli wew matonya
MTANDAO wa BASIBORA ni WA kimagumashi na WA hovyo Sana. Wame weka mabasi machache ila ukienda kwa poss za hao matapeli mabasi yote yapoTarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote yalikuwa yamejaa kwa muda ambao nilipanga kusafiri. Niliamua kwenda Stendi ya Mbagala Rangi Tatu nikitumaini kupata nafasi kwenye basi au gari jingine.