Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

sure mkuu watu wanapigwa za chembe huko 😂
 
Ngoja watie akili kwanza.Walizoea michongo na luxury life.Mikelele kibaoooooo,hamisha yote peleka Insimbo huko Rukwa/Katavi sio yanajazana tu makao makuu.

Mitandao ya kujuana imevunjwa vunjwa sasa hivi watu wanambwela mbwela tu.
sure mkuu watu wanapigwa za chembe huko [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo hicho tena hapo NSSF ilikuwa kuchomekana chomekana kwingi sana acha wapelekwe puta tu waishi kama mashetani
😂
 
Urio ana kismeti cha kupata vyeo. Ila kusema kweli kiutendaji ni Zoba kabisa. Sijui Kwa nini Rais alimpeleka huko. Pale PPF nilikuwa namkubali Kashimba.
Soba hasa huyu jamaa ajiamini kabisa. Anafikiri kufanya kazi na watu wake ndio kuficha maovu yake.
Soon facts zote zitakua wazi.

Huyu jamaaa ni dhaifu mno
 
Hahaha sasa naelewa vizuri wakuu walivosema huu uzi ni Personal attack, jamaa umepanick kabisa. Acheni kupumbuzana watu humu JF kwa sababu ya Personal issues zenu au kwa maslah yenu. Achen watu wasafishe Kazi.. siku hizi Transparency ni ya hali ya juu mno.

VIVA ERIO VIVA NSSF
Soba hasa huyu jamaa ajiamini kabisa. Anafikiri kufanya kazi na watu wake ndio kuficha maovu yake.
Soon facts zote zitakua wazi.

Huyu jamaaa ni dhaifu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] walizoea vitonga, hali ni tofauti kabisa. Janja janja zimefutika kabisaaaaaaaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina lako na maandiko yako hayafanani [emoji16] huwezi kuwa fighter alafu unaandika shalo kinoma. Humu JF inafaa Elites uandike jambo lenye mashiko sio mambo ya chuki binafsi. Ingewezekana kama amewabana huko kuiba kuiba kwenu mkapumzike nyumbani au mtafute cha kufanya maana vitu vpo wazi sana ukiandika ukweli unajuliana dk 2 tu.
Soba hasa huyu jamaa ajiamini kabisa. Anafikiri kufanya kazi na watu wake ndio kuficha maovu yake.
Soon facts zote zitakua wazi.

Huyu jamaaa ni dhaifu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point ya 3 kwenye Mapendekezo ni kweli kabisa. Nilikua Bukoba kwao na wife likizo Desemba, aisee lile ghorofa la NSSF limechakaa vibaya mno. Yaani ni kama hamna watu mule!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawaelewi kabisa wakiambiwa kulikuwa na kubebana kwingi humo.Mlata uzi inawezekana kisu kimegusa mfupa haamiini kinachotokea.Amenusa harufu ya kupelekwa Nyasa jamba jamba imemshika ghafla.

Ajira za huko zilikuwa pasua kichwa lakini michongo ilikuwa bwereree!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] walizoea vitonga, hali ni tofauti kabisa. Janja janja zimefutika kabisaaaaaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ur too junior JF nafikiri pia kwenye uelewa wa vitu.

kama una mapenzi binafsi na Erio hiyo ni wewe .

We dig!
 
Katika mjadala huu watu wanahusisha na chuki binafsi. Huwezi pia kukwepa chuki binafsi kwani kuna watu pia Erio kawaumiza - tena sana tu. So kuchukiwa ni lazima tu. Sasa uniumizie ndugu yangu nisikuchukie hapo nakuwa sio binadamu mkamilifu. Lakini pia Erio sio msafi km wafikiriavyo wengine - amewekwa pale kwa maslahi ya kisiasa tu. Kama Erio asingekuwa anatoa fedha za Mfuko kufinance mambo mbalimbali ya kisiasa katika utawala huu na tawala zilizopita asingekuwa hapo kwa sasa. kumbuka yeye ni Mwanasheria lkn katika tasnia ya Sheria nani anamjua Erio?
 
Mtoto wa dada yangu huyo. Niliyemsimika hawezi kumuondoa. Mtakuwa mnenielewa baadhi.
 
Mtoto wa dada yangu huyo. Niliyemsimika hawezi kumuondoa. Mtakuwa mnenielewa baadhi.
 
Your too low minded for JF nenda kaimbe ngonjera nje huko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIO URIO NI ERIO ... TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA MAANA KUNA HOJA ZA UKABILA ZIPO NJIANI KWENYE HILI BANDIKO
Hata mimi nilishangaa mchaga wa wapi huyo anayetumia nguvu nyingi kuliko akili. Angekuwa mchaga muda aliokaa PPF tayari keshachukua chake anapiga biashara zake,kelele waachie waswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…