Nataka niachane nao rasmiTerehe 23 hadi 27 January kifurushi cha 3000 unapata dakika 120 SMS 100 na GB1
Ila kuazia jana mambo yame badilika kufurishi cha 5000 ndo unapata kama hapo juu, na cha 3000 imekuwa vichekesho kwa kweli dakika 100 MB 500 sijui na SMS ngapi.
Kweli number lazima tuisome kwenye nchi ya kijani kitupu.
Mitano tena
View attachment 1688753
Rudi nyumbani kumenoga acha kuzurula huko kwa mabeberu 😂😂😂😂😂😂 hii ni sawa na kukimbia vibao vya nyani na kukimbilia fimbo za mkia wa Taa
wananchi wanyonge tumieni TTCL ndiyo shirika la umma wa wanyonge.Wapuuzi tu hao tigo Kama wenzao Vodacom hawajali Hali ya wananchi wanyonge.
Upo kama mimi voda siitumiagi kabisa hata menue yao nimesahau inafananajeNna line ya Tigo na Voda tu.
Voda kwa ajili ya mihamala kupokea simu na text pia
Ila Tigo ndo nanunua vifurushi na huduma zote
Kweli kabisa mkuu.Niliwahi kufanya utafiti nakupa hiyo kaa mda mrefu bila kutumia vifurushi vyao mfano anza na mtandao mmoja tigo au voda bila kununua vifurushi japo mwezi unaruka siku tano unanunua cha jero tu utaona wanakubembeleza kwa bure mb au gb na vifurushi wanakuuzia bei chee mfano gb2 kwa buku tu, ukiwa unawaungisha sana tena kuanzia buku tatu tano ... Wanakuona wewe ni kigogo nakupa hilo
Hahahahah kwani wao wajinga hadi wakomae na dakika na sms! Kila mtu ni mtumiaji wa mtandao nikisema hivyo namaanaisha wamiliki wa smartphone by 70% wanatumia mitandao ambayo bila bundle za internet ni mtihani.Kweli kabisa mkuu.
Wana tabia ya ajabu sana wakiona wewe ni mteja wa kudumu Na upo active sana kwenye ununuaji wana kupandishia gharana hawa jamaa.
Mimi ninazo tigo Na voda nakumbuka kuna kipindi niliipotezea voda kabisa nikawa nafumia tigo walikuaa Na bundles nzuri sana with time wakanibadilikia vifurushi vikapanda ghafla.
Nikaswitch to voda nao wakawa Na vifurushi vizuri ila now its been three weeks since wamenibadilikia nao.
Kwa sisi ambao tunatumia internet heavily wanatuumiza sana.
Yani bora wakaze dk Na SMS sio MB aisee wanatunyonga sana.
Bora sasa hiviMALALAMIKO MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA WADAU:
Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi Wananchi wanyonge.
=====
---
---
---
---
---
---
=====
WADAU WENYE MTAZAMO TOFAUTI:
---
---
---
pia soma >Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021
Mtandao wa Tigo umekuwa mtandao wa ajabu sana. Yaani saizi wana-program ya ovyo sana ukinunua salio kupitia Tigo pesa, pesa iliyokuwa kwenye acc ya Tigo pesa unakatwa haijalishi hata kama umenunua kifurushi kwa salio la kawaida. Naamini watu wa Sheria mpo humu mtalizungumza suala hili kwa Lugha...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niliwahi kuwa nayo kipindi nikiwa Dom kitambo kidogo tatizo natoka Area A kununua vocha mjini.Zantel tu ndio jibu la wanyonge waliochoka mateso.
Sahizi si tigo na wao wameunganaMkuu niliwahi kuwa nayo kipindi nikiwa Dom kitambo kidogo tatizo natoka Area A kununua vocha mjini.
Sahizi si tigo na wao wameungana
Wamei dilute imekuwa kitu kimoja. Codes za vifurushi ndio ziko tofautiNa vifurushi vyao vinafanana au ni tofauti...? Na je, hawajaweka mfumo wa ku-switch kama uko na Tigo uka-switch to Zantel is that possible...?
Wamei dilute imekuwa kitu kimoja. Codes za vifurushi ndio ziko tofauti