Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mama magdalena ndo nani mkuu wanguMkuu upo sawa.Huwa tukiambiwa au kuwaambia humu ndani Jf kuna wajinga wajinga huwa tunabisha au mnabisha,umeona sasa ujinga wa sampuli ya watu kwa uzi wa dhihaka kama hii?
Tuwasamehe tu kiongozi "baba swalehe" ingawa unafanana na "mama magdalena"
Nlgundua unafiki wa wabongo wengi kutokana na huyu jamaa
Hafu nikajua kumbe kuna wa tz wanaume wana tabia za kike kike sana
Maana hata dada zetu hawapo hivyo
Yaan walionyesha tabia za kishost mfano kitenge , riziwan na wengine wengi
Hapo na wewe inaonyesha umeongea kama hujui siasa za Afrika na Tzrizmoko upstairs hua hayuko njema ni mbeleko ya dingi yake tu ilimbeba.
Na wala hatakuja kua na cheo kikubwa kwny nchi hii tena zaidi ya huo ubunge tu.
Ha ha ha ha haChadema acheni ubaguzi
Pipo tslk just for funny and jokes onlyMkuu huu Ni ukosefu wa utashi na utu, kwani huyu DIATTA ana kosa gani Hadi afanyiwe hivi?, Watu huwa tunajisahau saana katika haya maisha.
Itabidi akina Rizmoko wahame CHADEMA manake wamejiona Wazungu ghafla kuona binadamu mweusi zaidi yao, kila siku mnapiga kelele jinsi Wazungu walivyo racists kumbe Waafrika ni zaidi maana wanabaguana hata wenyewe kwa wenyewe.Chadema acheni ubaguzi
Hahahahaha, mama magdalena imeharibu pozi mkuu?Joking tu!!!Mama magdalena ndo nani mkuu wangu
Teh ...[emoji28]
Mbaguzi number moja ni mtu mweusi. Huo ndio ukweli.Kitendo kilicho fanywa na watu kumdhihaki huyu mwenzetu siyo cha kiungwana kabsaaa , hizi tabia zinapaswa kukemewa vikali,
Sisi waafrika ndo wakwanza kulalamika tunabaguliwa na raia wa mataifa mengne nje na Africa, Leo hii tunajisahau na tunaanza kufanya dhihaka juu ya mwafrika mwenzetu.
Tunapaswa kuacha Mara moja hizi tabia
Hana charisma yoyote ile.Hapo na wewe inaonyesha umeongea kama hujui siasa za Afrika na Tz
Hata "Rizimoja" nilisoma post yake kule TWITA sikupenda kwa kweli kuhusu sura ya huyu kaka, aliandika vibaya mno!!!!
Wabongo wameongozaSio Wabongo tuu, almost Nchi zote za Africa wanamdhihaki
Inawezekana ikawa feki lakini haiondoi ukweli wa upuuzi tulioufanyaTaarifa fake hiyo
Wewe utakuwa kiazi mbatata kabisa, kumbe Ridhiwan ni Chadema?Chadema acheni ubaguzi
Mkuu sio huyo tu , kuna viongozi wengine waliandika upuuzi huo