luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Feb 12, 2022 #1 Ukinunua kifurushi cha G1 hawa jamaa wana fyeka mbayaaa yaan Mbs hazidumu kabisaaa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 12, 2022 #2 Wamesharudisha kasi ama wanafyeka kwa kasi yao ya kobe?
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Feb 12, 2022 Thread starter #3 Numbisa said: Wamesharudisha kasi ama wanafyeka kwa kasi yao ya kobe? Click to expand... Kasi ni ya kobe ila izo mbs wana fyeka kwa kasi ya supersonic
Numbisa said: Wamesharudisha kasi ama wanafyeka kwa kasi yao ya kobe? Click to expand... Kasi ni ya kobe ila izo mbs wana fyeka kwa kasi ya supersonic
Kila Mbongo JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 308 Reaction score 435 Feb 13, 2022 #4 Nikajua ni peke yangu tu...afu option ya kuangalia salio la bando inagoma!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 13, 2022 #5 Poelni sana...
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Feb 13, 2022 #6 Kila Mbongo said: Nikajua ni peke yangu tu...afu option ya kuangalia salio la bando inagoma! Click to expand... Wameigomesha makusudi
Kila Mbongo said: Nikajua ni peke yangu tu...afu option ya kuangalia salio la bando inagoma! Click to expand... Wameigomesha makusudi
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Feb 13, 2022 #7 Acha nipambane na Airtel 20,000=15GB kwa mwezi
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Feb 13, 2022 #8 luangalila said: Ukinunua kifurushi cha G1 hawa jamaa wana fyeka mbayaaa yaan Mbs hazidumu kabisaaa Click to expand... Mbona TTCL wapo vizuri mimi Tigo 3GB zinakatika hata hujui zimekatika vipi.
luangalila said: Ukinunua kifurushi cha G1 hawa jamaa wana fyeka mbayaaa yaan Mbs hazidumu kabisaaa Click to expand... Mbona TTCL wapo vizuri mimi Tigo 3GB zinakatika hata hujui zimekatika vipi.