Malalamiko/ Ufafanuzi na Ushauri kuhusu Ushuru wa Maegesho Ilala, Temeke na Kigamboni Jiji la Dar es Salaam

Malalamiko/ Ufafanuzi na Ushauri kuhusu Ushuru wa Maegesho Ilala, Temeke na Kigamboni Jiji la Dar es Salaam

Ascerics LTD

New Member
Joined
Sep 11, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Ascerics LTD ni Kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa katika zoezi zima la kukusanya Ushuru wa maegesho nchini Tanzania. Ili kuboresha huduma zetu za maegesho (Parking services ) kwa system mpya ya E-parking katika Jiji la Dar-es-Salaam.

Kanda no 2 ambao tunasimamia Ilala, Temeke, na Kigamboni Uongozi wa Kampuni umeamua kufungua Jukwaa JF ili kuweza kupokea maswali, malalamiko, ushauri, na ufafanuzi wowote.

Pia kwa utaratibu huu mpya wafanyakazi wetu hawaruhusiwi kuchukua hela Mkononi (cash) kwa mwenye chombo cha usafiri bali kutoa control number tu
 
Back
Top Bottom