We ni nom
we noma aseeKila mahali wapo. Mpaka huruma. Jana nilikuwa najitokea town, kwenye daladala wakati nipo busy na simu yangu. Mwanamke mdogo ki muonekane ila mzuri sana, nikasikia ananiambia naomba elfu2. Nikamuangalia sikusema kitu nikatoa elfu kumi nikampa. Baada ya muda akasema naomba number yako. Nikatabasamu na kukataa...