Malalamiko ya Kocha wa JS Saoura kwa Waandishi wa Habari Tanzania

TZ waandishi wa habari sijui hizi division 3 and 4 zinz=asumbua sana, unakumbuka hata nkapa alikuwa anawatukana wanashindwa kumhoji kwa mantiki, mwandishi wa habari tz alipaswa kuwa mdomo na sauti ya wasio na sauti lakni wanatuiingiza chooni bila ridhaaa

By Sangu Joseph

Kwanza nitoe hongera kwa Klabu ya Soka ya Simba kwa ushindi walioupata wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura ya Algeria ni cha kujipongeza kama nchi, lakini kuna kitu nimekiona baada ya kumalizika kwa mechi ya Simba ambacho nilikuwa nikikifikiria kwa muda mrefu lakini nilikua nakosa mfano wa uhalisia hasa kwa sisi wanahabari ni juu ya malalamiko yaliyotolewa na Kocha wa Timu ya JS Saoura dhidi ya sisi waandishi wa habari wa Tanzania.
.
Wengi wanadhani hoja aliyoitoa ni kujidefence kwa sababu amepoteza mchezo lakini kwangu ilinifikirisha sana kuna Jambo moja sana ambalo huwa tunalisahau waandishi wa habari tumekuwa tukiingia kwenye mitego mara kwa mara hasa linapokuja masuala ya nchi yetu kushirikiana na mataifa mengine kuna wakati nadhani inasababishwa na baadhi yetu kutokujua au kwa makusudi.
.
Kocha wa JS Saoura analalamika kwamba amenukuliwa vibaya kuwa alisema timu yake ni changa lakini si dhaifu kama ilivyoandikwa na baadhi ya magazeti nchini japo sitaki kueleza kauli yake na kufungwa lakini tujiulize huyu mtu gazeti letu la kiswahili amejuaje kwamba tumemuandika kwa tofauti na yeye alivyosema jibu linakuja hawa watu wanabalozi zao nchini ambazo kila siku zimekuwa zikifuatilia vyombo vyetu vya habari ili kujua wameandikwaje na mwisho wanapeleka taarifa nchini kwao ndiyo yanakuja masuala ya kidiplomasia kati ya nchi yetu na zingine.
.
Sasa unapoanza kuandika kwamba Nchi fulani au Rais fulani ni mbaya tujue wale wenyewe huwa wanapokea taarifa namna ambavyo wanaandikwa kwenye nchi zai na mwisho wa siku athari inaweza isije kwa chombo husika bali ni kwa nchi kwa ujumla.
.
Nitoe mfano utakuta waandishi /watangazaji wanawaiga wanasiasa juu ya utawala wa Rais wa nchi fulani na kumpatia jina kwamba ni mroho wa madaraka, balozi wa hiyo nchi wanaandika ripoti wanapeleka nchini kwao mwisho wa siku Tunaleta uhasama baina ya nchi na nchi hata kama pengine kulikuwa na miradi ambayo inashirikiana nchi kuitekeleza inajikuta inakwana kwa sababu tu Nchi husika ilibaini kuwa Tanzania inaisema vibaya.
.
Nashauru tu sisi waandishi tujitahidi Kuwa makini sana tunapokuwa tunaandika au tunaripoti kuhusu matukio yanayohusu nchi za wenzetu kwa kuandika katika namna ambayo haitaleta mgongano baina ya nchi na nchi.
.
Insta: FB:Twit:
SANGUJOSEPH
0712861292.

#kijanamzalendo #ilovetz #maoniyangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyo kocha ametoa sbb za kiboya kwa kipigo alichopokea kutoka kwa Simba. Kwani hayo magazeti ndio yaliyoingia uwanjani kucheza?
Dah mshkaji yaani baada ya kusoma hiyo habari ndo umehitimisha hivi? Aibu naona mimi asee!
 
Nyie wote waandishi uchwala ndo maana mumeaibika. Mlisema simba kibonde na mavideo juu lakini mkaonja joto la dar. Kwaiyo acha unafiki waache nao wakaandike kwanza hicho kiarabu cha msikitini hatuna habari nacho kwani magazeti hayachezi mpira. Umenikera kuwatetea waarabu hawa mbwa huwa wananyanyasa sana timu zetu zikienda kwao. Ko unyambilisi uendelee tuu tukutane dimbani.

Ubaguzi na chuki ni kitu kibaya sana. Punguza mkuu zitakuumiza
 
By Sangu Joseph

Kwanza nitoe hongera kwa Klabu ya Soka ya Simba kwa ushindi walioupata wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura ya Algeria ni cha kujipongeza kama nchi, lakini kuna kitu nimekiona baada ya kumalizika kwa mechi ya Simba ambacho nilikuwa nikikifikiria kwa muda mrefu lakini nilikua nakosa mfano wa uhalisia hasa kwa sisi wanahabari ni juu ya malalamiko yaliyotolewa na Kocha wa Timu ya JS Saoura dhidi ya sisi waandishi wa habari wa Tanzania.
.
Wengi wanadhani hoja aliyoitoa ni kujidefence kwa sababu amepoteza mchezo lakini kwangu ilinifikirisha sana kuna Jambo moja sana ambalo huwa tunalisahau waandishi wa habari tumekuwa tukiingia kwenye mitego mara kwa mara hasa linapokuja masuala ya nchi yetu kushirikiana na mataifa mengine kuna wakati nadhani inasababishwa na baadhi yetu kutokujua au kwa makusudi.
.
Kocha wa JS Saoura analalamika kwamba amenukuliwa vibaya kuwa alisema timu yake ni changa lakini si dhaifu kama ilivyoandikwa na baadhi ya magazeti nchini japo sitaki kueleza kauli yake na kufungwa lakini tujiulize huyu mtu gazeti letu la kiswahili amejuaje kwamba tumemuandika kwa tofauti na yeye alivyosema jibu linakuja hawa watu wanabalozi zao nchini ambazo kila siku zimekuwa zikifuatilia vyombo vyetu vya habari ili kujua wameandikwaje na mwisho wanapeleka taarifa nchini kwao ndiyo yanakuja masuala ya kidiplomasia kati ya nchi yetu na zingine.
.
Sasa unapoanza kuandika kwamba Nchi fulani au Rais fulani ni mbaya tujue wale wenyewe huwa wanapokea taarifa namna ambavyo wanaandikwa kwenye nchi zai na mwisho wa siku athari inaweza isije kwa chombo husika bali ni kwa nchi kwa ujumla.
.
Nitoe mfano utakuta waandishi /watangazaji wanawaiga wanasiasa juu ya utawala wa Rais wa nchi fulani na kumpatia jina kwamba ni mroho wa madaraka, balozi wa hiyo nchi wanaandika ripoti wanapeleka nchini kwao mwisho wa siku Tunaleta uhasama baina ya nchi na nchi hata kama pengine kulikuwa na miradi ambayo inashirikiana nchi kuitekeleza inajikuta inakwana kwa sababu tu Nchi husika ilibaini kuwa Tanzania inaisema vibaya.
.
Nashauru tu sisi waandishi tujitahidi Kuwa makini sana tunapokuwa tunaandika au tunaripoti kuhusu matukio yanayohusu nchi za wenzetu kwa kuandika katika namna ambayo haitaleta mgongano baina ya nchi na nchi.
.
Insta: FB:Twit:
SANGUJOSEPH
0712861292.

#kijanamzalendo #ilovetz #maoniyangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
vipi na wakenya wakenya wanavyotuandika vibaya kwenye media zao serikali inachukua hatua gani? au balozi wetu hatoi taarifa?
 
Back
Top Bottom