Malalamiko ya mashabiki wa Yanga

Malalamiko fc huwaoni humu

Mambo yote ni sakho
 
Acha uongo wewe, hufatilii ligi ya Nigeria, kucheza champions kapata baada ya timu namba 2 kufanya makosa ya mchezaji.
Rivers wamemaliza ligi wa 6.
Ungesema Akwa hapo sawa.
Nigeria inaingiza timu ngapi CAFL mpaka timu ya sita kwenye ligi ipate nafasi ?
 
Acha uongo wewe, hufatilii ligi ya Nigeria, kucheza champions kapata baada ya timu namba 2 kufanya makosa ya mchezaji.
Rivers wamemaliza ligi wa 6.
Ungesema Akwa hapo sawa.

Sawa lkn walipishana point ngapi mpaka atoke wa 6 afike 2 hilo umejiuliza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…