Malalamiko ya Rushwa yamekithiri Mkoani Mwanza. Tatizo nini?

Malalamiko ya Rushwa yamekithiri Mkoani Mwanza. Tatizo nini?

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Taarifa 132 zimepokelewa na TAKUKURU Mkoani Mwanza kati ya Januari - Machi 2022, na 89 zinahusu vitendo vya Rushwa huku 43 zikiwa hazihusiani na Rushwa

Kwa taarifa 89 za Rushwa, Majalada ya uchunguzi yalifunguliwa ambapo Uchunguzi wa Majalada 22 uchunguzi wake umekamilika, na 67 uchunguzi bado unaendelea

Kwa wakazi wa Mwanza, ni Sekta gani zinaonekana kukithiri zaidi kwa Rushwa? Ni changamoto gani zinawakumba Wananchi kutokana na vitendo vya Rushwa?

46E73F59-74CE-4699-B008-F9962F82306D.jpeg
 
Back
Top Bottom