Malalamiko ya Serikali na majibu ya EU

Dah
 
Na ile rumbling ya KABUDI jana kumbe bure tu!!!!!!!!! Wanajipongeza ati tutashinda tu, haaa, kumbe mioyoni uongoooo!!!!!!
 
Siqwzi kupata neno zuri la kuwapongeza hawa wazungu. Ndiyo maana wanafanikiwa, kwa sababu wamenyooka katika ukweli. CCM na Serikali tao bandia, na rais bandia, wanazidi kuumbuka. Watarajie kibano kikali sana, ili iwe fundisho hata kwa madikteta wengine.
 
Hii kwa kiswahili inaitwa "kutupiliwa mbali kwa maombi ya Tz kuzuia kujadiliwa na Bunge la Ulaya".

Kweli dunia ipo uchi hii, Serikali ya samuya kwa maelezo haya haiwezi kutoboa!

Tena mwandishi anayaelewa mambo kiundani sana kuliko sisi raia wakazi tunavyoyaelewa mambo ya Serikali hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…