Malalamiko ya Serikali na majibu ya EU

Yaani hapa waliombuka ukitoa selekale ni wale masheikh ubwabwa wa amani, amani, amaniiiii HAKI sio wajibu.
 
Hiyo reply kiboko, imemuacha mtu mtupu, ukisikia mtu anavuliwa ngua hadharani kwa ujuha wake ndio hii.
Wataishia kubwabwaja mabeberuuu wanatuonea.
 
Kwa muda niliofanya kazi na wazungu
Hao ni watu ambao hawayumishwi.
Mzungu na msimamo.
Mzungu anapenda haki za binadamu kuliko hata pesa.
Hapa Kizimkazi kazi anayo.
Mzungu akukomalia anahakikisha unakamatikatika
Hakika, ni kweli..

Hawa jamaa hawana masihara hata kidogo na haki na uhuru wao..

Nakumbuka pale Moshi miaka kama mitano iliyopita, kuna jamaa mmoja mfanyabiashara wa utalii aliwatapeli wazungu wa kama sio toka Ujerumani basi toka U.S.A dola kama 25,000 baada ya kulipia huduma ya hotel na usafiri kwa travel tour kuja Tanzania

Actually hakuwa yeye parce aliyefanya utapeli huo. Ni wahuni wali hack mifumo ya malipo na mawasiliano ya kampuni yake na kupiga pesa hiyo

Hawa wazungu walipogundua kuwa wametapeliwa, hawakuwa na cha msalia mtume. Walifika Tanzania na walimshughulikia kwelikweli jamaa kwa kutumia mamlaka za Tanzania hizihizi Polisi nk mpaka mataeli hao kupatikana kwa kujua hela ilitoka wapi, ikaingia kwa nani na ilikuwa kwa nani

Kwa hiyo, I totally agreed with you, kwamba, Hawa jamaa wakiamua jambo lao huwa hawashindwi, hulifuatilia mpaka wamkamate mwizi!
 
This rebuttal is overwhelming. The idiots running the government are too dumb to formulate a meaningful rejoinder to overcome it!
 
Ila hawa CCM ni watu wasiotaka kabisa kuukubali ukweli na ku-act, hizi propaganda na uongo hautawasaidia kwa chochote na wananchi wengi wanazidi kuwakataa kwa speed kubwa sana
Mapesa ya nchi waliyojikwapulia ndio yanafanya wawe manunda, wako tayari kufanya lolote mradi wasipokonywe tongue mdomoni
 
Wote waliofanikiwa kurekodi video ni mashujaa wa nchi yetu.Haikuwa rahisi kuchukua picha huku unakimbia kuokoa maisha yako.Bila hizi picha tusingekuwa na ushahidi wowote.Ndugu zetu waliouwawa wangepoteza haki zao.Hakika tunawashukuru, history will honor you.
 
๐Ÿ˜€Eu inasema haiwezi kusubiri wahuni

Tunawaambia kila siku hawa mnaoita sijui diplomats au wanasheria wa serikali wakienda kimataifa wananyolewa kwa chupa, ona sasa wanavyoaibika kwa majibu haya๐Ÿ˜€
Hao wengi wao vichwani ni watupu kabisa! Wanachoweza ni uchawa na kujipendekeza...watu aina ya lissu ndio wenye Iq ya kuweza kubattle na wazungu na wakatoana jasho!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ