Malalamiko ya Serikali na majibu ya EU

hawa ******* wanaona ni muhimu kujieleza kwa wazungu kuliko kwa raia wao , hlf waanze kutumia jina Tanzania maana hawawakilishi maoni ya watz bali matumbo yao

Wajieleze kwetu kwanza kisha ndo bunge la ulaya wawape legitimacy ya kujieleza
 
2. Tanzania haijapewa nafasi hata moja ya kutoa maelezo au kujitetea kabla ya mjadala.
Mnasemaje nyinyi hamkusikia mlipokua mnaambiwa wasikilizeni hawa watu mkajitia ukiziwi usio na faida yoyote, mboko zimekolea mnaanza kujifanya mnataka kusikilizwa kusikilizwa wakati nyinyi hata sasa hamtaki kusikiliza? Stupid, sikilizeni serikali iliyopo madarakani kwa sasa inatambulika duniani kote ni serikali feki, haramu, batiri, viongozi wote mliopo madarakani kwa sasa ni feki haitambuliki na wananchi walio wengi maana hamkuchaguliwa na wananchi mmejichagua wenyewe ila mnalazimisha kua madarakani kwa kutumia mabavu ya mtutu wa bunduki kwa kuwaua raia tu ili mkae madarakani, unainuka asubuhi unaifuta 9 December?
 
Kwa kifupi sana:
Tanzania inasema wazi:
“Hamna haki ya kutuhukumu hadharani bila kutusikiliza kwanza. Tupe nafasi ya kujieleza kama washirika, kama ilivyoagizwa katika makubaliano”
Mbinu ni zile zile za tamaduni za kiarabu. Zungushaaaa na poteza lengo na kuchosha unaye jadili naye.

Hao waTanzania waliouliwa, walipewa haki ya kusikilizwa kwanza kabla ya kuuliwa?

Hadi hiyo hatua ya kuua, hapakuwa na fursa ya kuepusha hayo mauaji. Kwa nini fursa ya kuzuia hali hiyo ya maandamano haikupewa nafasi?
Ni kipi cha maana sana kilichozuia kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi ili uwe wa haki na huru?
 
Samia Suluhu Hassan; Jakaya Mrisho Kikwete, Roastam Azziz na wenzao wameifikisha Tanzania hatua hii ya kipekee sana!

Tutawakumbuka mashujaa wetu waliopoteza uhai kwenye mapambano haya; ambayo hayana shaka tena kwamba hatimaye Tanzania itakombolewa karibuni.
 
Amen
 
Na bado! Those barbarians and savages have to pay for their sins
 
🚨 BREAKING: Bunge la Ulaya limepitisha AZIMIO kali sana dhidi ya serikali ya Tanzania (27 Nov 2025)

🔨Linakemea mauaji ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, makaburi ya HALAIKI na VIBURI vya jeshi lapolisi.

🔨Linamtaja moja kwa moja Tundu Lissu na kulaani kesi yake ya uhaini (Kesi ya MCHONGO).

🔨Linaitaja serikali kusitisha ukandamizaji na kumwachia Tundu Lissu MARA MOJA.

🔨Linadai uchunguzi wa kimataifa unahitajika.

🔨Linaagiza EU (Umoja wa ULAYA) kusitisha misaada ya moja kwa moja kwa serikali na kufikiria kuweka vikwazo dhidi ya serikali ya TANZANIA.

Hii si azimio la kawaida — ni pigo kubwa sana kwa serikali.

Kesho MAAZIMIO HAYA YANAPIGIWA KURA KUPITISHWA NA KUWA MSIMAMO RASMI WA UMOJA WA ULAYA.🙌🏿
 
EU Resolution on Tanzania Human Rights violations and Tundu Lissu vote. 🗳️

Unanimously adopted
 
Serikali haram nayo inaomba haki baada ya kuomba amani?
 
Dah,
Wauaji a.k.a wahuni wamejibiwa vizuri sana
 
Yenyewe inalia inaomba haki ya kusikilizwa, lakini yenyewe imekataa kata kata kusikiliza matakwa ya wananchi wake, kweli "mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu"
Huna akili ya kuchangia hili, nenda uani kampikie mumeo.
 
Wazungu nao wamewajibu kibabe hadi rahaaa.. Unafungia mitandao. Unakandamiza vyombo vya habari unataka ww tukusikilize 😀😀😀Wazungu kabieni hapo hapo kwa juu mpaka manyonyo atoe mlio
Hahahahaaa!
Nyumbu mtasubiri sana, umetoka hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…